Nimefikisha 4000 watch hours YouTube na kuwa Monetized

Kwani ukijikausha TCRA kuna shida mahali?
Siku ukidakwa ni either ulipe 5mil kama faini au unde jela mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.

Sheria za kijingajinga tu! Na ukiangalia walio kuwa wanatafutwa ni wale wakosoaji bila kusahau akina JF!!
 
Kwanza malipo ya Ads hayategemei watch hours bali yanategemea Views!

Watch hours inatumika kama kigezo cha kuwa approved after that haiitajiki kiivo!

Kwa hiyo malipo yataangalia views ulizo pata tokea siku umekua approved na sio views za zamani.

Nadhani umenipata mkuu[emoji120]
Roger that!
 
Vizuri sana mkuu, mkuu kama hauingizi pesa, na haiujihusishi na hard news, siasa sias ahko unaweza ku mute kwanza kuhusu Tcra , mpaka utakapo poke a pesa thrn ndio ukalipie..
Naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi
Nashukuru, hili nalo nalifikiria!!
 
Siku ukidakwa ni either ulipe 5mil kama faini au unde jela mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.

Sheria za kijingajinga tu! Na ukiangalia walio kuwa wanatafutwa ni wale wakosoaji bila kusahau akina JF!!
What if, ukafunguwa YouTube channel ukwa region nyingine kama Kenya, the uji add kama manager na create kwa email nyingine , ili uweze ku accesss na ku create content hapa Tz
 
Hapo sijui mkuu! Ila hii nchi yetu lazima wabadilike! Hatuwezi endelea kwa mtindo huu
 
Vip mkuu ulipata microphone kama ulipata setup ya audio imechukua TSH ngap na mie nijipange
Mwanzo nlinunua ikaibiwa... nikanunua tena ikawa feki!

Nikawa natumia ya PC (PC hizi za kisasa huwa zina mic nzuri, sauti yake si mbaya)!!

Ila kwa sasa nataka kuanza tumia ya simu (smartphone huwa na sauti nzuri tu) baada ya kurekodi kwa simu unatumia audacity ku edit sound...

NB: Kama unataka nunua hakikisha unanunua nzuri the likes of rode, snowball etc...kama bongo ukikosa unaweza agiza amazon au ebay!
 
Sawa mkuu ngoja nikomae
 
Hongera sana mkuu kwa kufikia hatua hiyo Maana kufikia watching hours na subscribers ni Kazi tena kweli kweli.

Na Mimi nipo nyuma yako ipo Siku nitaifikia njia yako
 
Chukua hata hii kwa pc ipo poa

Hata bei yake ni simple unapata kwa 12k
IMG_20220204_182328_9.jpg
 
Hongera sana mkuu kwa kufikia hatua hiyo Maana kufikia watching hours na subscribers ni Kazi tena kweli kweli.

Na Mimi nipo nyuma yako ipo Siku nitaifikia njia yako
Unatumia , mikakati gani kufanikisha hilo, ?maana kwasas hivi bila mikakati mizuri itakuchukuwa muda mrefu kufanikiwa haraka..

Jaribu kufanyia utafiti alivyoorodhesha mdau hapo juu, search kila point moja kimoja YouTube utapata majibu..
 
Kiufupi napita njia ya Mkuu kama alivyo orodheza hapo juu kikubwa Zaidi ni ubunifu na ubora
 
Back
Top Bottom