Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,623
Na ukifanya Contents za Bongo wakakufuatilia na kujua upo Bongo, game over!Mie sio mshamba.
Wakati nafungua account, country of residence naweka Kenya/Uganda/Zanzibar.
Ila kama unaona hawawezi kukunasa, sawa!