Nimefikia maamuzi magumu, lakini sahihi

Nimefikia maamuzi magumu, lakini sahihi

hongera kaka kwakujali hisia za wengne na kukubali mabadiliko.

Ahsante, ni vema kuwa na misimamo maishani, lakini ni vema zaidi misimamo hiyo ikawa na mipaka. Usipoheshimu hisia za binadamu mwenzako, utaheshimu za nani sasa?
 
Waliolalamika wameshinda.Teh!

Though haikuwa mashindano, ila tufanye wameshinda. I wish na kwenye mchakato wa katiba mpya, yule kiongozi wa jamhuri angefanya kama mimi.
 
Back
Top Bottom