Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,425
- 191,636
Kumbe hahahahahaYani wee ndo ulichoona tu baada ya kufika moro?
Kama ng'ombe afikapo bwawani kunywa maji anadhani maji ya mbele zaidi ndo matamu anazidi kusogea mbele kumbe bwawa moja tu
Kumbe hahahahahaYani wee ndo ulichoona tu baada ya kufika moro?
Kama ng'ombe afikapo bwawani kunywa maji anadhani maji ya mbele zaidi ndo matamu anazidi kusogea mbele kumbe bwawa moja tu
Tanzania nzima watoto wakali wapo wewe tu,hata huko ulipotoka wapo teleNpo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro