Lakini watakutambia eti angalau wao wanazungumza kiingereza vizuri kuliko watanzania; ingawa ni wazi kabisa "wanakufa na tai shingoni". Hawa jamaa ni kituko!Wakenya wengi wana maisha magumu sana kuliko Mtanzania
Si unaona sasa jamaa wanasuasua kuchangia hii mada, manaake wanajua wazi kabisa huu ni ukweli mtupu.Ni hatari aisee...duh!!:flame:
Hapo na "Kwa Mfuga Mbwa" wapi afadhali?
haaaa kiranga mbona bora kwa mfuga mbwa. maana kule mathare ni mabanda ya bati while hapo kwa mfuga mbwa ni nyumba za tofali !!!!
Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!
View attachment 217407View attachment 217408View attachment 217409View attachment 217410View attachment 217411