Nimefika mahali basi!mwenye nacho ni samehe!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,231
2,000
Hapa MMU Nimahali pakutoa kero zote zihusuzo mapenzi!!Mimi nimeshindwa kuvumilia maana hatanikitembea barbarani nahisi nakanyaga Moyo wa fulani!! (Preta)
Mimi
Preta ndo nimefika! naomba mwenye kumiliki Preta anisamehe siyo mimi niliyetuma ujumbe huu ni KakaKiiza!Ijumaa Mubarak!!
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,736
0
Sasa we tena unaukanyaga moyo wa mwenzio? teh! teh! teh! teh! Preta mamii njoo umsikilize kakakiiza amekudondokea!
 
Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,727
2,000
Haya mambo ya dot com bwana, unaweza kukuta Preta ni dume au mama wa miaka 50 na kaka Kiiza teeneager. Haya Preta kazi kwao.
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,408
2,000
stay focused on Jesus.jpg

nimekupa na zawadi kwa kuwa wewe ni mjanja
 
BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
1,250
mmh! hii ni ijumaa.... haya preta bahati hiyo ijumaa ya mwisho wamwezi imekukalia pouwa ushindwe wewe
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,231
2,000
Haya sasa wapi Preta_bahati hii huku!
Please peleka ujumbe!!

Sasa we tena unaukanyaga moyo wa mwenzio? teh! teh! teh! teh! Preta mamii njoo umsikilize kakakiiza amekudondokea!
siyo kwamba naukanya nikwamba kila mimi ninapotembea ninapotakakukanyaga naona alama ya moyo umeandikwa Preta!!

Haya mambo ya dot com bwana, unaweza kukuta Preta ni dume au mama wa miaka 50 na kaka Kiiza teeneager. Haya Preta kazi kwao.
Mimi ndo nimempenda yeye atajipanga mimi wote abiria wangu sijipangi jinsia!!!lol!

Ndio nini hii?
Na wewe hii ndo nini??

mmh! hii ni ijumaa.... haya preta bahati hiyo ijumaa ya mwisho wamwezi imekukalia pouwa ushindwe wewe
Mwambie hapa ni full hilo sitatizo ili mradi nimpate Preta wangu!

mmmmmmmmh jamani mbona mi sielewi haya mambo. Mambo ya vijana hayo.mmmmmmmh
Mimi ndiyo nikijana wewe uliambiwa vijana handondokei??Ila mimi sitaki kulelewa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom