Mi kutoka hapa nilipo , hadi hapo ni mwendo wa dkk kama 10 hivi, nikifika hapo takujuaje? Kama wewe ndo wewe?
Subiri kuzidishiwa bill.
Subiri kuzidishiwa bill.
Nimefika dar leo nipo hapa napata beer baridi karibun mjee tubadilishane mawazo
Nimefika dar leo nipo hapa napata beer baridi karibun mjee tubadilishane mawazo
drink bear save water
hahahah hapo kubadilishana mawazo tu bear kwenu......yaani we unywe biereeee halafu wageni wako waje mbadilishane mawazo...
hahahah hapo kubadilishana mawazo tu bear kwenu......
acha tu jirani....uwa nachungulia mara moja moja tu.....mie mzima nashukuru Mungu naendelea vizuri.....Hahahah...waendeleaje na hali jirani...kitambo sana hatujajuliana hali
acha tu jirani....uwa nachungulia mara moja moja tu.....mie mzima nashukuru Mungu naendelea vizuri.....