Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

Husn ! Congra !
Basi mi kuna shan'kupe mmoja aliniuma sikio akanambia unafanya kazi TRA , kumbe doo!
Mkoko ndiyo kwanza unaalika maua !

hahahaha! Ulidanganywa aisee, labda nitakuwa huko baada ya miaka 7. Mmh! Parefu
 
babu, tunaomba uwe mwalimu wa pulakitiko
naskia huwa unafaulisha sana
kama twisheni za mchikichini

moskwito bana. Hivi kuna andaeji katika masomo ya baiolojia ya uzazi? Mwendhio amegradyueti fom foo a.k.a mtoto wa nne kila mtoto na babaye tena bila kufanyiwa operesheni. STUKA!
 
Niliachiwa past papers zenu zimefanya wateja niliowafungia nazo mihogo na bagia wamezirudisha! Yaani ni mashairi ya bongo fleva na mayai!
Sina hamu na mambumbumbu!
Zile past papers mwachie King'asti ntazipitia kesho wakati naenda shule.... Ubaki salama na wewe swahiba!
 
Niliachiwa past papers zenu zimefanya wateja niliowafungia nazo mihogo na bagia wamezirudisha! Yaani ni mashairi ya bongo fleva na mayai!
Sina hamu na mambumbumbu!
Ha ha ha! Jamani sasa huyu mkweo divisheni wani ya saba katoka nayo wapi?...

Bana mie siyataki tena, ntamwomba kongosho anipe za mwanae kamaliza na mtoto wa mkuu wa nchi...
 
Niliachiwa past papers zenu zimefanya wateja niliowafungia nazo mihogo na bagia wamezirudisha! Yaani ni mashairi ya bongo fleva na mayai!
Sina hamu na mambumbumbu!

mkwe kile kitabu cha uchumi cha nanilii yule usije ukafungia maandazi.
 
He kumbe vibibi siku hizi vinafanya mitihani lahaula.............

elimu ni bahari, elimu haina mwisho. Mie na ubibi wangu nimefaulu, haya hivyo viyoung boy na viyoung girls mbona vimechemka. Lol.
Shkamoo mwalimu.
 
Hongera sana Husninyo kwa kutoandika beti za 'Hakunaga'
 
Hongera sana, sasa uje kwenye tuition center yangu usome pre form five! sawa?
 
Back
Top Bottom