Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

unacheka nini wakati wewe mwaka jana ulipata div 0!!!

Uje urisiti, utaachika bure.
hahaha sikutegemea kuipata hii toka kwako ,umenifanya nijisikie kukumiss sana rafiki..hongera sana kwani ulikuwa unasoma ST Kayumba or?
 
Unataka hongera humu husemi umefaulu kivipi? Au hutaki kushauriwa mambo ya kusomea mbeleni? Weka grades basi tukufurahie zaidi.

we jamani mchoyo, hongera tu hadi nilete maevidence!
 
hahaha sikutegemea kuipata hii toka kwako ,umenifanya nijisikie kukumiss sana rafiki..hongera sana kwani ulikuwa unasoma ST Kayumba or?

hehehe! Shule ya kata imenitoa fl, tuition za mchikichini zimefanya pia zimesaidia mambo. Mi miss u pia.
 
Mwenye wivu na urafiki wetu na aje hapa aseme tumsagie chupa anywe!

Tena kabla ya kunywa anatakiwa awe ameshajichimbia kaburi ili asihangaishe watu, si unajua mvua siku hizi imeadimika kama miguu ya nyoka.
 
unacheka nini wakati wewe mwaka jana ulipata div 0!!!

Uje urisiti, utaachika bure.

tena nimejaribu ku resit mambo yamekuwa yaleyale kongosho,
Ila baba mkwe amenambia kufeli masomo sio kufeli maisha sasa najipanga upya kuwa machinga mtaani..
tutabanana huko huko
 
mmmh, haya we mwamini huyo baba mkwe, kwani ndo kakuoa?

Kama umefeli somo la kumdekeza bwana na msosi wa usiku, jihesabu huna bwana.

Husyn kashatangaza ana div foo.

tena nimejaribu ku resit mambo yamekuwa yaleyale kongosho,
Ila baba mkwe amenambia kufeli masomo sio kufeli maisha sasa najipanga upya kuwa machinga mtaani..
tutabanana huko huko
 
kumbe ulipopata zero ulifanya maamuzi magumu ya kununua jina la mtu mwingine.hongera.
 
Mwenzenu nina furaha ya ajabu. Naombeni pongezi zenu. Hongera wanafunzi wenzangu wote mliofaulu. Nawatakia masomo mema.
Hongera hata div iv ya point 32 umefaulu kwa mujibu wa serikali
 
Back
Top Bottom