Nimefanikiwa kuunda Bot wa Aviator, Nahitaji Logic

Nimefanikiwa kuunda Bot wa Aviator, Nahitaji Logic

2M+ rounds tayari ni raw material kubwa. Sasa tunahitaji kuacha mindset ya “predict next multiplier” na kuingia kwenye quantitative research:
Data → conditional probabilities → EV → backtest → out-of-sample validation.
Kama signal ipo kweli, data itatuonyesha. Kama haipo, tutathibitisha pia kwamba hiyo logic ni noise.
Hapo ndipo bot yako inaweza kuwa project ya maana—si kwa kudai prediction ya uhakika, bali kutafuta edge inayoweza kuthibitishwa kihesabu.

Signal to noise Ratio
Nipe nadharia 5 kila moja ikijitegemea, tunazoweza kuanza kuzifanyia research kwa data iliyopo.
 
Yes hii ni huwa naona ni kama DNA ya huu mchakato na ni moja ya basic rule ambazo huanza kupunguza EV- moja kwa moja, ila kureach break-⁠even kwa hii pekee haitoshi labda iwe mtindo mpya ambao sijawahi kuuona
Regime / State Hypothesis
 
Ev ni nini?
Ev ni wastani wa kihisabati wa muda mrefu, pale unapofanya jambo lolote, jambo lile linakuwa na matokeo yake miezi kadhaa ijayo au miaka ijayo so ev inaweza kuwa ni positive au ni negative, ila kwenye michezo ya kubeti na makasino kwa sababu hesabu zao hazipo fair kati ya wao na mchezaji, wao wanajihakikishia kihesabu kuwa mchezaji huyu hata acheze vipi baada ya miaka au miezi kadhaa tukifanya hesabu yeye atakuwa ameliwa pesa zaidi na sisi kutakuwa tumekula hela zaidi kutoka kwake, so kwa wao wenye kampuni kwao ni biashara yenye ev+ ila kwa mchezaji ni ev-.
 
Daah n hatari
 
Back
Top Bottom