Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
hata mm nampenda mtu ila namwogopa kumwambia
NimependaaJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
NakusubiriJamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Ebu fanya kumtaja mkuu isije na ndo uyo ni mpendae pia
Potelea mbali mkuu..sio kwa zigo lileKupenda taabu tupu shida ya kupata vidonda vya tumbo na presha bure
Kuna mdada wa jf humu akikubali tu nampa zawadi ya shamba eka 20 huko uzaramoni
Nakusubiri
EwaaaAtakua Mzigua