Ukimpenda mtu usiweke hofu nyingi sana kwakumfananisha na wengine. Watu hawafanani kitabia. Pia binti kutulia inategemea wewe utakavyomchukulia pia usimbague kwasababu bado anasoma. Level ya chuo sawa na mtotonwa secondari mnaweza kupanga mipango yenu. Kama anasoma diploma si atamaliza chuo in two years ambayo umepanga kuoa japo sijui ndani ya miaka miwili uliyotaja ulipanga kufunga ndoa na nani kumbe mchumba huna. Kuhusu hofu kwamba chuo anakosoma we hupaju kwani ulimjuaje sahivi ulivyompakuwa? Si umeletewa na mdogo wako! Sasa inabidi upange na mdogo wako kwamba umempenda rafiki yake akusaidia kuchunguza kama anafaa kuwa wifi yake na pia akulindie mzigo.