MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Nilimpa mkuu laki1
Haaaa hiyo tu,umeshamkosa
Nilimpa mkuu laki1
Nilimpa mkuu laki1
Na ampe tena na tena.
Yaani ampe hela tu.
Kuna dogo mmoja wa kike wa chuo flani hapa nchini niliunganishwa nae na mdogo wangu aliyepo hicho chuo. Nimempita miaka kama mitano hivi.
Juzi juzi alikuja kwangu akaspend wikend nzima kusema kweli yuko aktive sana sio kwenye gemu tu bali hata shughuli zingine,
Jitulize kijana punguza mambo ya ngono kabla ya ndoa
alikuja akanifulia nguo zote hata zile ambazo hazikuwa chafu, nyumban kwangu saivi pasafiii, sio mvivu kabisa yaani.
Inawezekana naye anabembeleza ndoa, tafuta watu wake wa karibu watakupa taarifa zake
Kiukweli nilikuwa tu nimepanga kumpitia kama wengine lakini kwa aliyoyaonyesha amenivutia sana tofauti na wengine wanakuja kwangu hata kitanda hawatandiki.
Woga wangu ni kuwa bado yuko chuo na ana safari ndefu mpaka kumaliza kwa sababu ndio kwanza yupo Diploma, mimi ninataka kuoa ndani ya miaka miwili ijayo.
Kwa kiwango cha elimu alichofikia, msubiri amalize Hiyo diploma kama yupo radhi kuolewa, oa.
Hawa watoto wanakuwaga na mambo mengi sana, sijui nifanye nini ili astick na mimi kabisa, atulie na wengine wasimchanganye ukilinganisha anaposoma na mimi ni mbali sana.
Umbali Sio kitu kwenye mapenzi, cha msingi ni utayari wa moyo, uvumilivu na mapenzi ya kweli
Nipeni mawazo wadau
Mpaka hapo aweza stuck kwako kwani mpaka wawanae it means hakuwa na mtu pindi alivyokuwa chuo na ndio mana umempata na mdogo wako alishaona kuwa anatabia nzuri na hana mambo ya ajabu ndio mana akakuunganisha nae
N:B Woman can be a really sweetheart or a really bitch all it depend on how you treat her if you treat her badly is the way she will be,so all decision are in you to let her stuck on you forever !!