Nimefall in love na mtoto wa chuo

Nimefall in love na mtoto wa chuo

JOYSTICK

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
221
Reaction score
57
Kuna dogo mmoja wa kike wa chuo flani hapa nchini niliunganishwa nae na mdogo wangu aliyepo hicho chuo. Nimempita miaka kama mitano hivi.

Juzi juzi alikuja kwangu akaspend wikend nzima kusema kweli yuko aktive sana sio kwenye gemu tu bali hata shughuli zingine, alikuja akanifulia nguo zote hata zile ambazo hazikuwa chafu, nyumban kwangu saivi pasafiii, sio mvivu kabisa yaani.

Kiukweli nilikuwa tu nimepanga kumpitia kama wengine lakini kwa aliyoyaonyesha amenivutia sana tofauti na wengine wanakuja kwangu hata kitanda hawatandiki.

Woga wangu ni kuwa bado yuko chuo na ana safari ndefu mpaka kumaliza kwa sababu ndio kwanza yupo Diploma, mimi ninataka kuoa ndani ya miaka miwili ijayo.

Hawa watoto wanakuwaga na mambo mengi sana, sijui nifanye nini ili astick na mimi kabisa, atulie na wengine wasimchanganye ukilinganisha anaposoma na mimi ni mbali sana.

Nipeni mawazo wadau
 
ushawahi kukaa kwenye vikao vya bia mkuu? Kuna ile kitu inaitwa kuchokoza yani mtu anakupa bia moja ili wewe umpe tano. wewe jiandae kupigwa mizinga iliyokuzidi uwezo ndo utajua kama anakufaa au akufai. ata ivo katika vitu ambavyo nashindwa kushauri nipamoja na ishu za mapenzi. kila la heri
 
Mpaka hapo aweza stuck kwako kwani mpaka wawanae it means hakuwa na mtu pindi alivyokuwa chuo na ndio mana umempata na mdogo wako alishaona kuwa anatabia nzuri na hana mambo ya ajabu ndio mana akakuunganisha nae
N:B Woman can be a really sweetheart or a really bitch all it depend on how you treat her if you treat her badly is the way she will be,so all decision are in you to let her stuck on you forever !!
 
Inaonekana wengi bado hatufahamu jinsi ya kumpata mke mwema na jinsi ya kuchuliana nae, hapo Mungu Mwenyezi anahusika zaidi. Jitahidi kuwa na uchaji wa Mungu ili usiifuatishe dunia katika hilo, maana utaponyoka fasta ....
 
Kweli nakubaliana na wewe kiongozi
 
Mpaka hapo aweza stuck kwako kwani mpaka wawanae it means hakuwa na mtu pindi alivyokuwa chuo na ndio mana umempata na mdogo wako alishaona kuwa anatabia nzuri na hana mambo ya ajabu ndio mana akakuunganisha nae
N:B Woman can be a really sweetheart or a really bitch all it depend on how you treat her if you treat her badly is the way she will be,so all decision are in you to let her stuck on you forever !!

Nimeipenda hiyo Mafiki
 
ushawahi kukaa kwenye vikao vya bia mkuu? Kuna ile kitu inaitwa kuchokoza yani mtu anakupa bia moja ili wewe umpe tano. wewe jiandae kupigwa mizinga iliyokuzidi uwezo ndo utajua kama anakufaa au akufai. ata ivo katika vitu ambavyo nashindwa kushauri nipamoja na ishu za mapenzi. kila la heri

Sio wa mizinga kihivo asee nmemsoma
 
Una nyota ya kuchunwa! Bora zaidi angekuwa mwaka wa mwisho hapo ningekupa moyo kwamba anatafuta mume.
 
Kila la heri,kama kweli una nia ya kuoa ndani ya hiyo miaka miwili utamuoa tu kama umemridhia maana yuko chuo ndoa inafungika tu!
 
Kufuliwa nguo nakuspend nae just one weekend ushatangaza na ndoa,ndo maana ndoa za sikuhizi ni perishable and very delicate..
 
Back
Top Bottom