Nimefail kui-hack jamiiforums

Niliwahi kuzifaidi sana

Hahhahhahaha Aiseee tafadhali sana kama uliweza kuscreenshot fanya siku moja hutupia oone tunavyokimbiana humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


mpe ujuzi mtoa mada njia ulizopita naye apite humo mkuu
 
We ndio maaana mjanjamjanja hivi
if ...then else if ...../catch exception naziona nyingi sana kwenye story zako πŸ™ŒπŸΏ
 
Kumbe sio mahaba pekee, hata kwenye IT upo
 
Sawa ewe mkuu mwema
 
Umepata ruhusa ya JAMIIFORUMS KUFANYA SECURITY AUDIT KAMA SIVYO JUA UNA MAKOSA
Alaf hapo eti unataka kufumua server yao sio rahisi. We jaribu kutafuta vulns kwenye web app na sio websever unless kama unaweza kuandika exploits cheza ka webservers. Common vulns ni hizi xxs.sqli,csrf,file upload,code execution,directory traversal,sensitive data exposure etc. Jaribu kutafuta hizo
 
DDOS attack mbaya sana.
Sasa hivi kuna firewalls,IDS,IPS, ambazo zinakagua packets kabla hazijaingia kwenye machine hivyo sio rahisi kufanya DDoS attack. Labda utumie slowloris ambayo husend SYN to server then SYN-ARK from server then haito send ARK kucomplete 3 way handshake kwa kufanya hivyo utakuwa na 150 useles requests ambapo ni mzigo kwa server
 
Daah, hongereni sana Admins, nimejaribu kusaka vulnerabilities kwenye jamiiforums ila nimesanda.View attachment 1194369

Kwanza kabisa unacho fanya ni kosa unless uwe staff wa JF na unaruhusa.
Pili scanning tool unayotumia sio rafiki, NIKTO walau ningekuelewa kwa mbaali..
Tatu hujafail kuhack manake hata kuanza hujaanza.
 
Paw

Cookie

Maxence Melo

Moderator


Mpigeni ban ya maisha huyu kwa sababu inamaanisha kwamba kama angeweza kuhack inaamaana angeweza kuchukua taarifa za watu na kupeleka kusikojulikana.

Hii ni sawa na mwizi ajaribu kuiba kisha ashindwe kutokana na usalama uliopo sasa ukimkata hautakiwi kumsamehe huyo mwizi lazima kipondo kihusike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…