Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,110
- 1,475
Nilikuwa muombaji ila ukafika wakati nikakata tamaa nikapoa sana imani kwa kuona mambo hayawiJe wewe ni mwombaji au mtu wa sala kwa Yesu Kristo?
Kuna wakumbaff ambao bado wanaamini waganga na waganganjaa!Wakuu nawasalimu.
Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.
Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.
Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.
Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.
Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.
Nadhani nakufa
Ukiona mapepo ya mganga yanakataa kupanda manake yamekutana na nguvu kubwa kuliko yao. Wewe utakuwa ni mtu wa Yesu Kristo na unapaswa kutumia nguvu zake kufanikiwa na sio nguvu za giza.Nilikuwa muombaji ila ukafika wakati nikakata tamaa nikapoa sana imani kwa kuona mambo hayawi
Yatakukuta utafute jawabu ukose.Kuna wakumbaff ambao bado wanaamini waganga na waganganjaa!
Mie siyo mkumbaff kiasi hikiYatakukuta utafute jawabu ukose.
Namuomba Yesu anichukue nikapumzikeUkiona mapepo ya mganga yanakataa kupanda manake yamekutana na nguvu kubwa kuliko yao. Wewe utakuwa ni mtu wa Yesu Kristo na unapaswa kutumia nguvu zake kufanikiwa na sio nguvu za giza.
Hongera sanaMie siyo mkumbaff kiasi hiki
kaanao meza 1 wadeni wako myamalize usitegemee wachawiWakuu nawasalimu.
Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.
Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.
Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.
Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.
Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.
Nadhani nakufa
Kanisani YESU anaokoa...Wakuu nawasalimu.

Shetani anakupiga sindano za moto halafu unaenda kwa mawakala wake kutafuta dawa ya kupambana na le mopao shetty ibilisi.Wakuu nawasalimu.
Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.
Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.
Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.
Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.
Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.
Nadhani nakufa
Wakuu nawasalimu.

Shukuru Mungu hayajakukuta.Inasikitisha sana kijana wa zama hizi za kidigitali anaamini ushirikina katika kutatua matatizo yake. Kwa mtazamo huu maendeleo yatachelewa sana