Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

Mtumie hizo sms mkeo.
Ikiwezekana mtumie screenshot.
Alafu usimuulize lolote we safiri.

Alafu utapata majibu.
 
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?

Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??

Nimechanganyikiwa kabisa

Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakin hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, Ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani

View attachment 689337
Dah!shangazi dah mwambie shangazi jane afuatilie
 
Mkuu mbona unajitakia shida bureee cha msingi unatakiwa umchane live mkeo kuwa umegundua usaliti wake anaotaka kuufanya pindi utakapokua safarini maana sikushauli uache kwenda safari yako ya kikazi najua kumegewa inauma lakini kazi nayo ndio asili ya uhai wanawake wapo tu na hata kama hutasafiri akiamua kumegwa hata kama usisafiri atafanya tu
 
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?

Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??

Nimechanganyikiwa kabisa

Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakin hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, Ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani

View attachment 689337
Pole sana. Cheki DNA watoto unaweza kukuta si wako
 
Naweza kusema mkeo mtindu sana.we nenda kazin tuu,najua hutaifanya hiyo kazi kwa ufanisi lkn huna namna nenda kazin tuu
 
Kwanini unataka kujipa mateso ya moyo kihasi icho we uko unaposafiri hauna mchepuko,makosa tufanye sisi akifanya mwanamke dhambi
 
kama ni kweli, nakupa pole, najua utakuwa unapata maumivu makubwa sana...lakini unatakiwa kuchukua hatua mbaya kama wewe haujawahi kumsaliti...kama wewe ni mtakatifu basi uwe wa kwanza kurusha jiwe, ila kama sio mtakatifu na mmezaa watoto....ignore tu, cha muhimu chukua izo msg kamwonyeshe uone atafanya nini afu mwache wala usimdhuru.
Bora waachane.
 
Ushauri wa kijinga sana huu
 
Kiongozi Samweli mathayo usituchezee akili. Unajiandikia huko WhatsApp na kujijibu mwenye halafu unakuja kutupa headache tu. Mwandishi wa hizo msg zote anafanana.
 
we jamaa uliyeandika hii thread,mbona unaulizwa swali utaje hiyo app huitaji?.hebu acha kuruka hili swali bana lete hiyo app watu tukaitumie.
 
Back
Top Bottom