bakaridimwe
New Member
- Nov 9, 2014
- 1
- 0
Huo ndo ukweli we mwanamke chepuka mkeo akukamate uone kama kuna ndoa.......ila mwanaume ukimkamata amechepuka utaongea tu baadae maisha yanaendelea na anaweza kumuoa kabisa mkafika wawili.......hebu jaribu wewe uko ndani ya ndoa harafu uolewe na mume mwingine ufikishe wawili uone!!Hio misimamo ni vichwani mwenu...hali halisi ni kama mtoa mada anavyoeleza...
, jamani makalio tenaa aaah aiseeWakague ma makalio kama yanafanana nawe.
hiyo inaitwa UKIYAONA MANYONYA
Utafanya ufanyavyo ila ushachapiwa na hio ni siri ya ndani...unadhani ndoa zote zinazodumu wanawake ni waaminifu??.Huo ndo ukweli we mwanamke chepuka mkeo akukamate uone kama kuna ndoa.......ila mwanaume ukimkamata amechepuka utaongea tu baadae maisha yanaendelea na anaweza kumuoa kabisa mkafika wawili.......hebu jaribu wewe uko ndani ya ndoa harafu uolewe na mume mwingine ufikishe wawili uone!!
Mkuu unafanyaje hii ili kudukua sms mkuu mfano una smartphone mbili yangu na ya muhusika naetaka kumdukua unafanyajewhatsapp wataua watu hii mambo ya kuruhusu namba hiyo hiyo kuduplicate ukiinstall whatsapp kwenye computer una simu ya huyo mhusika ukiscan barcode inaleta data zake zote itabd tuwaombe whatsapp hii sio nzuri itaua ndoa nyingi sana
basi utupe mrejesho imekuajeHatari mno Hadi mzuka wa kusafiri umeisha
Kuchunguzana nikujitakia kifo
Kwan lazma uwe na laptop mkuu simu haiwez ?Maelelekezo ya kutumia WhatsApp web.
VIFAA (Mahitaji)
Laptop au computer yoyote inayoweza pata internet kwa modem au Tethering hotspot ya simu yaani kwa wireless access
MAELEKEZO (Namna ya kufanya)
Kwenye Search Engine katika kifaa chako yaani laptop au computer desktop ambayo tayari imewezeshwa Internet search Neno WhatsAPP web kwenye Google search au search Engine yoyote, ukipata neno WhatsAPP web, click ikifungua itaonesha kitu kama QR code iache hapo
Chukua simu unayotaka ku hack nenda kwenye setting tu kulia baada ya kufungua whatsapp kwenye simu
Kwenye ile setting chagua sehemu imeandikwa WhatsAPP web bofya itafunguka QR code reader, elekeza ile QR code reader ya simu yako kwenye ile QR code inayoonekana kwenye Computer yako, linganisha vizuri ili QR code reader ya simu yako isome vizuri ile QR code ya computer yako ikifanikiwa kusoma vizuri simu yako itavibrate kuonesha kuwa imesoma ile QR code ya kwenye computer. baada ya hapo utaona WhatsAPP yako imehamia kwenye computer. hapo utakuwa umefanikiwa zoezi hili.
Mimi siyo mtalaam wa IT so nimeeleza kikawaida kwa vile ninavyoelewa, tusameane kwa hilo
Angalizo;
Fanya haya for your own risk sitahusika kwa chochote
Kwa hiyo bora amletee homa ya Ini na Ngoma kirahisi hivyo
Ushauri mzuri jooo!Asubuhi utakayokuwa unasafiri mwambie mkeo umejua na pia mpigie jamaa yako kwamba Unajua kinachoendelea. Then nenda Kapige kazi japo inauma ila Linda kazi maana mke keshakuwa mshenzi
INAITWAJE HIYO APPPole sana aisee hata mm nilimhack kwa WhatsApp web nilichokutana nacho ni aibu huwez amini cha msingi mwambie ukweli wote kufanya upumbavu wakati ni mke wa mtu ni kukudhalilisha ww.
Mambo ya kawaida ???? Inaelekea wewe unapigiwa sanaa na umeshayazoea na unajifanya kama hamna jitu huo unaitwa "ukhanithi" au kwa neno jibgine ni "duyuthi" ni kama wewePole sana mkuu,. Mambo ya kawaida hayo kwa ndoa za siku hizi.