Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,577
1,700
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimehairisha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie?

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo? Sijui nimwambie boss wangu hali hii nimechanganyikiwa kabisa.

Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakini hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani

IMG_20180202_162642.png

UPDATED

Nimeshafumania mtu

Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa
 
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?

Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??

Nimechanganyikiwa kabisa

View attachment 689337
App inaitwaje mkuu
 
kama ni kweli, nakupa pole, najua utakuwa unapata maumivu makubwa sana lakini unatakiwa kuchukua hatua mbaya kama wewe haujawahi kumsaliti kama wewe ni mtakatifu basi uwe wa kwanza kurusha jiwe, ila kama sio mtakatifu na mmezaa watoto ignore tu, cha muhimu chukua izo msg kamwonyeshe uone atafanya nini afu mwache wala usimdhuru.
 
Pole sana Mkuu kama mkeo yumo humu KISHAISTUKIA movie yote.

Back
Top Bottom