Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

Ukiwafuma ulete mrejesho hapa
inategemea na mrejesho. kuna kufumania ukakungutwa wewe na kuvuliwa nguo! tusisahau hakuna jinai ya kufumania. huko ni kuingilia starehe za watu. njia sahihi ni kufukuza ukaanza upya. kosa hapo si kukusaliti bali kosa la msingi ni kushindwa kuficha usaliti
 
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimehairisha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie?

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo? Sijui nimwambie boss wangu hali hii nimechanganyikiwa kabisa.

Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakini hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani

UPDATED

Nimeshafumania mtu

Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa
Huyu mwanamke watakuwa ni mwanaccm tu
 
Hii mbona whatsap ya kawaida mkuu sio clone whatsap
 
Back
Top Bottom