Nimedhalilika ...

Nimedhalilika ...

Hapo wanaku zoom tu
image.jpg
 
Ulichokifanya ni sahihi , kwa sababu tukirudi kwenye uhalisia huwezi kumtetea bwana wake ukamuangamiza rafiki yako 😂😂 rafiki yako mmetoka mbali.

Huyo shemeji ungemchana nae , aache mambo ya kijinga
Nasubiri siku wanitafute Tena waanze Nye Nye Nye watanikoma😁😂😂
 
Mtoa mada nae kipengele kweli yani kabisa una anza kushauri watu waachane kweli ?kuna watu wa ovyo sana mahusiano me sitoi ushauri
 
Anyway!
Lipokuja swala la mapenzi, usijichanganye sana na hayo maswala..can you imagine wakati unamdinya hata mchepuko/dem wako unaweza kumwamby tukana wazazi wako, kenge huyo bila aibu unajikuta anatukana matusi kama mwehu!
YOTE KWA YOTE, JITAHIDI KUEPUKA USHAURI WA KIMAPENZI MAANA NI NON PAYABLE JOB!
Yaani siwezi kujichanganya Tena
 
Usiwe na wasi wakilivurunda huko dem lazma akutaJe tena kama reference ya majuto
 
Kuna watu wanapenda vibaya sana, hii ilitukuta maskani. Mchizi wetu alikuwa na mrembo wake na walikuwa kwenye mahusiano muda tu, Sasa siku moja mchizi anatuambia kwenye hayo mahusiano anateseka sana, inshort hajawahi kupewa tunda ikabidi tumshauri achane na yule mrembo na yeye mwenyewe alikubali ushauri wetu.
Baada kama ya siku tatu alikuja yule bint kutuchamba, tena ili kututhibitishia kuwa ile show Ina baraka zote yule bint alikuja na mamake mzazi. Sasa ikawa kama wanapokezana, binti anazisha mamtu anamalizia
Ile siku tulivuliwa nguo na kile kijiwe kilisambaratika.
Huyo mwamba hana kifua,.
Kama nawaona mlivyoinamisha vichwa chini🥲😂😂
 
Mimi nilimto dada yangu kwanye mahusiano yaliyokua yanamuumiza, tena akaomba akae kwangu kwa muda nikimsaidia mipango yake ikae sawa, hee hata nwezi haukupita shemeji anamrudisha pale kwangu, mara wako zanzibar akapitiliza huko huko hadi vitu vyake ni shangazi yetu alivifuata, mpaka mda huu shemeji yangu ananiona snitch na bado anamtandika matukio
 
Mimi nilimto dada yangu kwanye mahusiano yaliyokua yanamuumiza, tena akaomba akae kwangu kwa muda nikimsaidia mipango yake ikae sawa, hee hata nwezi haukupita shemeji anamrudisha pale kwangu, mara wako zanzibar akapitiliza huko huko hadi vitu vyake ni shangazi yetu alivifuata, mpaka mda huu shemwji yangu ananiona snitch na bado anamtandika matukio
Ona Sasa,. Na hapo ukute anaona aibu kukufata Tena ushauri🥲
 
Mtoa mada nae kipengele kweli yani kabisa una anza kushauri watu waachane kweli ?kuna watu wa ovyo sana mahusiano me sitoi ushauri
Asa unamuona mtu anateseka jamani ufanyaje
 
Back
Top Bottom