Nimedhalilika ...

Nimedhalilika ...

NrNe.....

Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana..

Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi aachane nae afanye mambo yake ya msingi,. Nikaongea na maneno mawili matatu ili binti anielewe anatakiwa kufanya Nini...

Eti Jana amenipigia simu wamerudiana,. Na alivyokua mshenzi asiniambie mda huo wako wote, me nimeongea maneno yote nimemaliza kumbe wananiskia wote na ilikua video call.....

Hivi ujue kusutwa na mwanaume aibu sana, yaani nilijiskia kufedheheka, mwili mzima baridi, eti naambiwa me Kwa maneno yangu ndo nilisababisha wao wasiwe pamoja,. Eti nimetenganisha familia? Wakati sikua najua kama mda Wana maugomvi Yao binti alikua mjamzito ...

Nakaa nawaza how come amwambie Baby dad wake kwamba mimi ndio nilisababisha ,wakati binti alinifata mwenyewe kuomba ushauri na nikamshauri, . Kama ushauri wangu ulikua hauna maana mbona aliufanyia kazi....

Haya mambo sio ya kunitokea Mimi umri huu... Washenzi kweli hawa
Pole sana Dr love
 
🤣🤣🤣🤣 ndio ukome!

Mapenzi hayanaga ushauri wewe, mie yalinikuta ila nikakataa unyonge, nami nikawachamba.
Bora uliwachamba,.
Me hawakunipa hata nafasi ya kujitetea😂🥲
 
siku zote kabla ya kumshauri mtu inatakiwa ung'amue yeye anataka nini, mimi siwezi kumshauri mtu kabla sijajua yeye anataka nini, halafu ntamshauri hichohicho anachotaka yeye.
 
Me sipendagi kushauri shauri watu,. Sema huyu binti nlikua namuona anazo akili kumbe nae ndo walewale tu
Kuna mzee mmoja alisema Masikio ya wanawake siyo hayo unayoona wewe kwa suala la mapenzi hayo hayasikii, ila masikio halisi na yanayosikia ni K na watu wanaojadili jambo wakiwa hawana nguo waepuke sana
 
Hili naishi nalo kuanzia leo
 
NrNe.....

Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana..

Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi aachane nae afanye mambo yake ya msingi,. Nikaongea na maneno mawili matatu ili binti anielewe anatakiwa kufanya Nini...

Eti Jana amenipigia simu wamerudiana,. Na alivyokua mshenzi asiniambie mda huo wako wote, me nimeongea maneno yote nimemaliza kumbe wananiskia wote na ilikua video call.....

Hivi ujue kusutwa na mwanaume aibu sana, yaani nilijiskia kufedheheka, mwili mzima baridi, eti naambiwa me Kwa maneno yangu ndo nilisababisha wao wasiwe pamoja,. Eti nimetenganisha familia? Wakati sikua najua kama mda Wana maugomvi Yao binti alikua mjamzito ...

Nakaa nawaza how come amwambie Baby dad wake kwamba mimi ndio nilisababisha ,wakati binti alinifata mwenyewe kuomba ushauri na nikamshauri, . Kama ushauri wangu ulikua hauna maana mbona aliufanyia kazi....

Haya mambo sio ya kunitokea Mimi umri huu... Washenzi kweli hawa
Kwanini wewe ulitaka mtu na mume wake waachane? Huo haukuwa ushauri mzuri hata kidogo kwa kuwa haukutafakari mara mbili madhara ya wana ndoa kuachana baadaye inakuwaje
 
Back
Top Bottom