Nimedhalilika ...

Nimedhalilika ...

NrNe.....

Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana..

Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi aachane nae afanye mambo yake ya msingi,. Nikaongea na maneno mawili matatu ili binti anielewe anatakiwa kufanya Nini...

Eti Jana amenipigia simu wamerudiana,. Na alivyokua mshenzi asiniambie mda huo wako wote, me nimeongea maneno yote nimemaliza kumbe wananiskia wote na ilikua video call.....

Hivi ujue kusutwa na mwanaume aibu sana, yaani nilijiskia kufedheheka, mwili mzima baridi, eti naambiwa me Kwa maneno yangu ndo nilisababisha wao wasiwe pamoja,. Eti nimetenganisha familia? Wakati sikua najua kama mda Wana maugomvi Yao binti alikua mjamzito ...

Nakaa nawaza how come amwambie Baby dad wake kwamba mimi ndio nilisababisha ,wakati binti alinifata mwenyewe kuomba ushauri na nikamshauri, . Kama ushauri wangu ulikua hauna maana mbona aliufanyia kazi....

Haya mambo sio ya kunitokea Mimi umri huu... Washenzi kweli hawa
Wewe mtu mbaya sana, unaachanisha wapenzi! Hufai kabisa kwenye jamii za waendanao.
 
Ulikosea sana kujishikiza kwenye kuwatenganisha kuliko kuwaunganisha...

Unapokuwa kama dada hakikisha unamshauri mdogo wako namna ya kujenga mahusiano yake maana kila mwanaume ana mapungufu yake...

Pole lakini... Umekuwa kama kuku aliyemwagiwa maji ya baridi
 
Wala sitakaa nishauri Tena chochote
Nilijihisi kuvuliwa nguo 😂
 
Wewe mtu mbaya sana, unaachanisha wapenzi! Hufai kabisa kwenye jamii za waendanao.
Sasa mtu analalamika mpenzi wake anamcheat na wanawake tofauti tofauti na hajali,. Kuliko kuletewa magonjwa nikamwambia mdogo wangu chapa lapa. Tena naonekana sifai 😂😭
 
Punguza sana ushauri watu wanamipango yao.

Ila sasa siku nyingine kabla hujaanza kutiririka penda kuuliza uko na nani kuepusha fedheha nyingine mbeleni
Kwakweli hili swali muhimu sana,.
Uko na nani?😂😂
 
NrNe.....

Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana..

Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi aachane nae afanye mambo yake ya msingi,. Nikaongea na maneno mawili matatu ili binti anielewe anatakiwa kufanya Nini...

Eti Jana amenipigia simu wamerudiana,. Na alivyokua mshenzi asiniambie mda huo wako wote, me nimeongea maneno yote nimemaliza kumbe wananiskia wote na ilikua video call.....

Hivi ujue kusutwa na mwanaume aibu sana, yaani nilijiskia kufedheheka, mwili mzima baridi, eti naambiwa me Kwa maneno yangu ndo nilisababisha wao wasiwe pamoja,. Eti nimetenganisha familia? Wakati sikua najua kama mda Wana maugomvi Yao binti alikua mjamzito ...

Nakaa nawaza how come amwambie Baby dad wake kwamba mimi ndio nilisababisha ,wakati binti alinifata mwenyewe kuomba ushauri na nikamshauri, . Kama ushauri wangu ulikua hauna maana mbona aliufanyia kazi....

Haya mambo sio ya kunitokea Mimi umri huu... Washenzi kweli hawa
Katika mambo ambayo hutakiwi kujifanya mshauri ni mambo ya mahusiano. Mtoa ushauri utaishia kuonekana Kikagaragosi na mchonganishi. Maana wagombanao ndio wapatanao.

Pole sana Ms Leejay49
 
Back
Top Bottom