Nimedata na manjonjo ya huyu changudoa

Nimedata na manjonjo ya huyu changudoa

Kufanikiwa kwa hii issue hakuhitaji msaada wa Mungu hata kidogo........juhudi zangu zinatosha sana.
Mkuu msaidie na umhamishe mtaa kabisa huyo Changu.Ila kwa jamaa aangalie pia nia ya Ibilisi kwa siku zijazo dhidi ya maisha yake ni nini.
 
Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)

Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni kwang, nilisogea Na kumpa hi, Aliitikia kwa sauti ya uchovu Sana (kimahaba)
Nilipiga naye story za hapa Na pale nikijidai natafuta chumba cha kupanga mitaa Ile, nikafanikiwa kupata namba yake ya simu..!

Mara kwa Mara nimekuwa nikicjat naye mida ya mchana maana alidai ameolewa, pia Na mm nna mke..!

Niliendelea kumchimba Ili kujua Maisha yake kiundani, ndipo nilipogundua kuwa anaish mjin kwa kuuza uchi wake...( Kuna meng Sana ya kuandika kuhusu suala hili ila ngoja niishie hapo kwani sio lengo)

Siku zilizid songa huku tukiendelea kuchati.Alianza kunitext usiku, nilichat naye huku nukiavoid hali hiyo maana mke akijua n tatizo,

Ilifikia kpnd akawa anantumia picha zake za nusu uchi,akiwa na chupi,bikini na wakat mwngne alijiselfisha akiwa kifua wazi,( nilidata na maumbile ya huyu changudoa, chuchu zake zilisimama barabara)

Kidume nilikosa cha kufanya maana huyu dada alikuwa ananipeleka mbali Sana kihisia.., baada ya kuhakikisha mazingira ya kiusalama wa kiafya ya huyu dada ilinibidi nimt*mb* Tu hakukuwa na namna..!

Kilichonileta hum Ni suala moja Tu, huyu dada anajua mapenz balaa kumzid wife maana nnakoelekea sifurahii penz la mke wangu, sasa najiuliza haya maujuzi mke wangu atayajuaje Ili niweze kufrah naye, na kunavitu nikisema nimuelekeze Ili nienjoy atastukia na kujiuliza nimeyajuaje..!

Niko njia panda wakuu, naomben ushaur maana mke Wang nampenda lakini huyu changudoa ananteka na maujuzi yakee..

Nifanyeje???!!!!
Machangudoa ni hatari maana utadhani wamesomea hayo mambo, mfundishe tu wife mwambie nimeona kwenye mitandandao ya ngono
 
usikute huko unapewa tigo unaona mkeo hawezi kukupa unachopewa huko hiyo laana haitakuacha usitake kumfananisha mkeo afanane na huyo changudoa
 
Mpaka kumuoa mke wako kitu gani kilikuvutia jaribu ku enjoy na hicho hicho kutoka kwA mkeo. maana hakuna binadamu mkamilifu
huyo unaeyemuona amekudatisha kisa ngono anaweza kukuletea maradhi mabaya yatakayo kuletea shida wewe na mkeo ambaye hana hatia yoyote..
 
Hii ndio wanafalsafa wanaita false dillema yaani kujitatiza bila sababu, yaani kweli kweli kweli umechanganyikiwa umchague nani kati ya mke na changudoa!!!
 
we rekod video unavo mdonyoa huyo changu doa afu muonyeshe mkeo mwambie natak kama hiv
nmeagiza chips hapa nacbir mrejesho
 
we rekod video unavo mdonyoa huyo changu doa afu muonyeshe mkeo mwambie natak kama hiv
nmeagiza chips hapa nacbir mrej effacesh
 
Hii ndio wanafalsafa wanaita false dillema yaani kujitatiza bila sababu, yaani kweli kweli kweli umechanganyikiwa umchague nani kati ya mke na changudoa!!!

nzi hufia kidondani yakheeeee
 
Apo kwenye Mita 500 kutoka unapoishi, ulitumia lenzi gn kumuona au jicho lako ni kama la mwewe mkuu?

Hafahamu kama mita 500 ni wiwanja vitano vya mpira wa miguu (nusu kilomita). Hapo mtu unamwona vp?
 
Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)

Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni kwang, nilisogea Na kumpa hi, Aliitikia kwa sauti ya uchovu Sana (kimahaba)
Nilipiga naye story za hapa Na pale nikijidai natafuta chumba cha kupanga mitaa Ile, nikafanikiwa kupata namba yake ya simu..!

Mara kwa Mara nimekuwa nikicjat naye mida ya mchana maana alidai ameolewa, pia Na mm nna mke..!

Niliendelea kumchimba Ili kujua Maisha yake kiundani, ndipo nilipogundua kuwa anaish mjin kwa kuuza uchi wake...( Kuna meng Sana ya kuandika kuhusu suala hili ila ngoja niishie hapo kwani sio lengo)

Siku zilizid songa huku tukiendelea kuchati.Alianza kunitext usiku, nilichat naye huku nukiavoid hali hiyo maana mke akijua n tatizo,

Ilifikia kpnd akawa anantumia picha zake za nusu uchi,akiwa na chupi,bikini na wakat mwngne alijiselfisha akiwa kifua wazi,( nilidata na maumbile ya huyu changudoa, chuchu zake zilisimama barabara)

Kidume nilikosa cha kufanya maana huyu dada alikuwa ananipeleka mbali Sana kihisia.., baada ya kuhakikisha mazingira ya kiusalama wa kiafya ya huyu dada ilinibidi nimt*mb* Tu hakukuwa na namna..!

Kilichonileta hum Ni suala moja Tu, huyu dada anajua mapenz balaa kumzid wife maana nnakoelekea sifurahii penz la mke wangu, sasa najiuliza haya maujuzi mke wangu atayajuaje Ili niweze kufrah naye, na kunavitu nikisema nimuelekeze Ili nienjoy atastukia na kujiuliza nimeyajuaje..!

Niko njia panda wakuu, naomben ushaur maana mke Wang nampenda lakini huyu changudoa ananteka na maujuzi yakee..

Nifanyeje???!!!!
Kitu haramu ndo zake. Kuku nogesha ili utekwe na hata huyo ukimuowa atakua kama mkeo. Hatafanya tena hayo manjonjo. Wizi mtupu amka shetani anakuteka, utaharibu familia yako bure. Umesema changu, wategemea nini? Si ndo kazi na ofisi yake. Lazima afanye kazi yaziada ili wewe mteja ufurahi. Jiepushe naye na muogope kama ukoma. Ubarikiwe!
 
Nasikitika kusikia wakina dada wakilalamika kuwa wanaume hawatulii kwenye ndoa, zaidi ya kudandia vimada tuu visivyo na mbele wa nyuma.

Jiulize kwanza, ulicho mpendea mkeo mpaka ukamuamini na ukamuoa ni nini...?

Hebu kuwa mstarabu bhanaaa wengine sie tunaumiza kichwa kuwapata wachumba /Wake wanao jielewa na kujiheshimu, eti wewe unawaza ngono.

Yasimamie yale uliyomuhaidi mkeo kabla hujamuoa na baada ya kumuoa ili mpate baraka za Mungu ktk ndoa yenu
 
Back
Top Bottom