fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,264
Mpangie chumba ba umpe kimtaji awe mchepuko wakoNikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)
Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni kwang, nilisogea Na kumpa hi, Aliitikia kwa sauti ya uchovu Sana (kimahaba)
