Nimedata na manjonjo ya huyu changudoa

Nimedata na manjonjo ya huyu changudoa

Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)

Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni kwang, nilisogea Na kumpa hi, Aliitikia kwa sauti ya uchovu Sana (kimahaba)
Nilipiga naye story za hapa Na pale nikijidai natafuta chumba cha kupanga mitaa Ile, nikafanikiwa kupata namba yake ya simu..!

Mara kwa Mara nimekuwa nikicjat naye mida ya mchana maana alidai ameolewa, pia Na mm nna mke..!

Niliendelea kumchimba Ili kujua Maisha yake kiundani, ndipo nilipogundua kuwa anaish mjin kwa kuuza uchi wake...( Kuna meng Sana ya kuandika kuhusu suala hili ila ngoja niishie hapo kwani sio lengo)

Siku zilizid songa huku tukiendelea kuchati.Alianza kunitext usiku, nilichat naye huku nukiavoid hali hiyo maana mke akijua n tatizo,

Ilifikia kpnd akawa anantumia picha zake za nusu uchi,akiwa na chupi,bikini na wakat mwngne alijiselfisha akiwa kifua wazi,( nilidata na maumbile ya huyu changudoa, chuchu zake zilisimama barabara)

Kidume nilikosa cha kufanya maana huyu dada alikuwa ananipeleka mbali Sana kihisia.., baada ya kuhakikisha mazingira ya kiusalama wa kiafya ya huyu dada ilinibidi nimt*mb* Tu hakukuwa na namna..!

Kilichonileta hum Ni suala moja Tu, huyu dada anajua mapenz balaa kumzid wife maana nnakoelekea sifurahii penz la mke wangu, sasa najiuliza haya maujuzi mke wangu atayajuaje Ili niweze kufrah naye, na kunavitu nikisema nimuelekeze Ili nienjoy atastukia na kujiuliza nimeyajuaje..!

Niko njia panda wakuu, naomben ushaur maana mke Wang nampenda lakini huyu changudoa ananteka na maujuzi yakee..

Nifanyeje???!!!!
God bless the women !! Huyo changustain ni lazima afanye kazi ya ziada. Anakupikia, anakufulia, analea wanao?!!! Mheshimu mkeo.
 
Kwani kabla ya kukutana na huyo chakedoa ukiwa kwenye bed na mkeo wazungu walikuwa hawatoki ? Kama wazungu walikuwa wanatoka ENDELEA NA MKEO ACHANA NA HUYO...
 
Huyo kakolea tu anataka na wewe ukolee mana changu hua hawana mbwembwe kitandani wao maliza uondoke kwako atakua kavutika sana
 
Mkuu ila hodari mita 500(0.5Km) si jirani yako huyo.....Ila swala la kumwambia mkeo is not big issue.Mwambie umesoma kitabu fulani cha mpenzi kimeeleza mambo haya.Unaanza kushusha maneno maelezo yote hayo...Umejikalia usono mkavu kama sio wewe
 
Kaka kwanza umekosea wanaume wote hapa jf . Mtu mzima umeoa... alaf tamaa ulizojitakia zinaweka ndoa yako shakani alaf unakuja kuomba ushauri...
Ww ni mtu mzima... kumbuka kiapo cha ndoa yako mbele ya madhabahu ya Mungu.
Yakupata matatizo ucrud hapa kulalamika
 
Kwani kwenye post yangu ya kwanza kwenye huu uzi hujaona namwambia jamaa anipatie namba?
Hehehe nakutekenya tu ni prove kama kweli uko serious. Naomba MUNGU akufanyie wepesi haja yako itimie mkuu
 
Kaka kwanza umekosea wanaume wote hapa jf . Mtu mzima umeoa... alaf tamaa ulizojitakia zinaweka ndoa yako shakani alaf unakuja kuomba ushauri...
Ww ni mtu mzima... kumbuka kiapo cha ndoa yako mbele ya madhabahu ya Mungu.
Yakupata matatizo ucrud hapa kulalamika
Hayo kiimani tunaita majaribu so calm down
 
Yaani unamuonea aibu mkeo? Hiyo ni haki yako, kwanini uogope kumuelekeza jinsi utakavyo kufurahisha wewe? Bora umwambie tu ili akikataa, hapo baadae akigundua umecheat uwe na cha kujitetea.
 
Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)

Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni kwang, nilisogea Na kumpa hi, Aliitikia kwa sauti ya uchovu Sana (kimahaba)
Nilipiga naye story za hapa Na pale nikijidai natafuta chumba cha kupanga mitaa Ile, nikafanikiwa kupata namba yake ya simu..!

Mara kwa Mara nimekuwa nikicjat naye mida ya mchana maana alidai ameolewa, pia Na mm nna mke..!

Niliendelea kumchimba Ili kujua Maisha yake kiundani, ndipo nilipogundua kuwa anaish mjin kwa kuuza uchi wake...( Kuna meng Sana ya kuandika kuhusu suala hili ila ngoja niishie hapo kwani sio lengo)

Siku zilizid songa huku tukiendelea kuchati.Alianza kunitext usiku, nilichat naye huku nukiavoid hali hiyo maana mke akijua n tatizo,

Ilifikia kpnd akawa anantumia picha zake za nusu uchi,akiwa na chupi,bikini na wakat mwngne alijiselfisha akiwa kifua wazi,( nilidata na maumbile ya huyu changudoa, chuchu zake zilisimama barabara)

Kidume nilikosa cha kufanya maana huyu dada alikuwa ananipeleka mbali Sana kihisia.., baada ya kuhakikisha mazingira ya kiusalama wa kiafya ya huyu dada ilinibidi nimt*mb* Tu hakukuwa na namna..!

Kilichonileta hum Ni suala moja Tu, huyu dada anajua mapenz balaa kumzid wife maana nnakoelekea sifurahii penz la mke wangu, sasa najiuliza haya maujuzi mke wangu atayajuaje Ili niweze kufrah naye, na kunavitu nikisema nimuelekeze Ili nienjoy atastukia na kujiuliza nimeyajuaje..!

Niko njia panda wakuu, naomben ushaur maana mke Wang nampenda lakini huyu changudoa ananteka na maujuzi yakee..

Nifanyeje???!!!!
Mhuuu! Watu wengne bwana sjuw waga nikututest tu hum jf kuwa tutashaul nn!!, yaani ww unashindwaje kumwambia wife nn unapenda?!!! et naogopa mwanaume kabisa unaogopa dume suluar kabisa ww bas fukuza mke wako mlete huyo chang doa ili ufulahie
 
Apo kwenye Mita 500 kutoka unapoishi, ulitumia lenzi gn kumuona au jicho lako ni kama la mwewe mkuu?
Hahahaha uwiii kweli bwana mda mwngne tunasumbuliwa na vichwa maji hum,
 
Mkuu if your wife doesn't scream during sex ,forget about her it simply means she wont cry at your funeral ....she is heartless .
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mpe tuition ya nguvu mkeo ya mautundu anayokufanyia huyo CD ili naye aweze kukupagawisha Mkuu, labda awe ni wale wazembe ambao kisharidhika na hali ya maisha hataki kujifunza mapya.
 
Mfundishe mkeo mkuu, akupe raha kama ya changudoa, we mtoto wa kiume huwez shndwa kumwambia umetoa wap ufundi
 
Nafikiri uchangudoa unakatazwa maana kiuhalisia wake za watu hawana uwezo wa kushindana na machangudoa kwenye kugegedana.
Kama ukiruhusiwa watu wengi watawaacha wake zao na kujisevia machangudoa huku wakibadili ladha kila panapokucha.
Anyway hebu fanya mpango wa hiyo namba. Ukiamua kuiweka hapa jukwaani au kuituma PM ni uamuzi wako ila hakikisha jua halizami kabla sijaipata.
Hao hao wake za watu wangekuwa wanashiriki ngono kama profession...ungeshangaa!
 
Back
Top Bottom