Nimedata na manjonjo ya huyu changudoa

Nimedata na manjonjo ya huyu changudoa

Maujuzi yanatokana na uzoefu, Inatakiwa wife apate uzoefu wa ku-sex na wanaume wengi kadri awezavyo atapata tu hayo maujuzi na uzoefu.
 
Una fikiri ukiweka ndani hiyo takataka itakupa manjonjo kila siku kwa spidi hiyo hiyo?
 
Mpeleke nkeo kwa kungwi akafundwe upya.alafu acha uzinzi,tena usikute unamla kavu huyo CD,usije peleka magonjwa kwa mkeo
 
Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)

Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni kwang, nilisogea Na kumpa hi, Aliitikia kwa sauti ya uchovu Sana (kimahaba)
Nilipiga naye story za hapa Na pale nikijidai natafuta chumba cha kupanga mitaa Ile, nikafanikiwa kupata namba yake ya simu..!

Mara kwa Mara nimekuwa nikicjat naye mida ya mchana maana alidai ameolewa, pia Na mm nna mke..!

Niliendelea kumchimba Ili kujua Maisha yake kiundani, ndipo nilipogundua kuwa anaish mjin kwa kuuza uchi wake...( Kuna meng Sana ya kuandika kuhusu suala hili ila ngoja niishie hapo kwani sio lengo)

Siku zilizid songa huku tukiendelea kuchati.Alianza kunitext usiku, nilichat naye huku nukiavoid hali hiyo maana mke akijua n tatizo,

Ilifikia kpnd akawa anantumia picha zake za nusu uchi,akiwa na chupi,bikini na wakat mwngne alijiselfisha akiwa kifua wazi,( nilidata na maumbile ya huyu changudoa, chuchu zake zilisimama barabara)

Kidume nilikosa cha kufanya maana huyu dada alikuwa ananipeleka mbali Sana kihisia.., baada ya kuhakikisha mazingira ya kiusalama wa kiafya ya huyu dada ilinibidi nimt*mb* Tu hakukuwa na namna..!

Kilichonileta hum Ni suala moja Tu, huyu dada anajua mapenz balaa kumzid wife maana nnakoelekea sifurahii penz la mke wangu, sasa najiuliza haya maujuzi mke wangu atayajuaje Ili niweze kufrah naye, na kunavitu nikisema nimuelekeze Ili nienjoy atastukia na kujiuliza nimeyajuaje..!

Niko njia panda wakuu, naomben ushaur maana mke Wang nampenda lakini huyu changudoa ananteka na maujuzi yakee..

Nifanyeje???!!!!
Mkuu unataka kumpelekea ngoma mke wako??? au kila ukitaka kumgegeda mnapima kwanza??? Mbona swala lako dogo sana ndugu, kama unaogopa atashtuka ukimuelekeza manjonjo mapya kwa nini msiwe mnaangalia movie za watu wazima then utatumia kama sababu kuwa umejifunza humo. Ni bora hivyo kuliko huyo muuza papuchii mwishowe unaweza ambulia magonjwa tuuh.
 
Kama mwanamke au mwanaume muelewa sidhani kama atamaind et ukimwambia nataka stail mpya. Ninachofahamu kila siku mambo yanabadilika hivyo hata stail za mapenzi na ufanyaji wa mapenzi ndani hubadilika na ili tuzinusuru ndoa zetu lazimatujifunze na kuwaelekeza wenzetu haiwezekani utamani kitu ushindwe kukipata kwa mwenzio kisa unaogopa
 
Apo kwenye Mita 500 kutoka unapoishi, ulitumia lenzi gn kumuona au jicho lako ni kama la mwewe mkuu?
viwanja vya mpira vi4 na 20 Metres za mapumziko khaaaah Mkuu atushushe
 
Hapo ni unashindana na nafsi yako cuz mapnz unayopewa na mkeo na unayopewa na huyo changu Bibi ladha yake ni ileile isipokuwa nafsi yako inahis kuwa changu du ni mtamu kuliko mkeo! Narudia tena kukusisitizia ya kuwa ishinde nafsi kwa kuwa ww unapigana na kitu kilicho ndani yako na hakiwez kuonekana kwa macho ya kibinadamu.Ikitokea nafsi ikakushinda daima utakuwa mtumwa wa penz la huyo changu doa.
 
Duuh mkuu kwakua we umetoka nje ya ndoa na ukakutana na maujuzi,basi inabid na mkeo aje kwa wanaojua ili tumfundishe maujanja...."mtenda hutenda,akitendewa huisi ameonewa"usihatarishe ndoa yako,mpende mke wako kwani ndiye uliyemuona Bora zaid ya wengine,unajua ni machungu kias gan mkeo atapata endapo atagundua unamsaliti?badili mtazamo wako unayesema ana maujanja wala hata hana mapenz na ww...UMEKENGEHUKA
 
fanya ile kitu roho inapenda unahahaaa nini fanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom