Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431

Mama mkubwa karibu kwa Bujibuji mfariji wa ajabu.

wanaume na sie huangaliaga weak point.. then twa hit hapo hapo.. pole mamdogo
pia una tatizo la kukokotoa haiwezekani kila saa ufungwe wewe tuNdugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai
1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha
2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto
3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena
chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena

chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza

okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!

tubadilike na sie, tusilalamikie sana wanaume

okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!