Nimedanganya jinsia yangu

Mbona umechelewa sana kujiuliza Hayo maswali?
Ulipaswa ujiulize kabla hujakubali kutumiwa nauli uende.
Kwa sasa mpelekee tu
 


Acha ujinga ina maana miaka yako huijui
?
 
Kula hiyo chapaa mob halafu fungua kwa jina lingine la kike tena uone kama hujaliwa huko kwa babu.
 

Wewe nenda tuu sababu yeye kashazimika kwako, utakapofika muombe msamaha lakini sema umekuja tu kwa kuitikia wito. Kama jamaa akikusamehe kwa kutaka hayo MALINDA we mpe tuu ili nae ajifariji japo kwa hilo. Hope utaenjoy kama ulivyotumia pesa yakeee. Haha haha.
 
Nimejikuta nimepandwa na hasira za gafla sijui kwanini nimesoma huu uzi



Thread nyingine zinatia kinyaa!

Wee Dume zima unaanzaje kutongozwa na mwanaume mwenzio na wewe una enjoy tu kama hauna interest na Donald Cameroon?!

mambo mengine yanatia hasira sana! ungekuwa karibu yangu hapa ningekutia kelbu moja la nguvu akili yako ikae sawa!!
 
zitumie hizo hela kisha badilisha namba ya simu yeye hata wakati anatuma hiyo hela hakuona kama lililotokea ni jina la kiume na mtu atatumaje hela kwa mtu ambaye hajawahi hata kusikia sauti yake.
 
Mwana jiangalie, KY zinapatikana hadi kwa Mangi, utafikwa
 
zitumie hizo hela kisha badilisha namba ya simu yeye hata wakati anatuma hiyo hela hakuona kama lililotokea ni jina la kiume na mtu atatumaje hela kwa mtu ambaye hajawahi hata kusikia sauti yake.

Laini,namba yangu inausajili wa jina langu la kiume.
 
Punga ni punga tu. Hata ukiinjoi kutongozwa na mwanaume mwenzio wewe ni punga tu
 

wewe unajiingiza kwenye ushogaa taratibu halafu unamlaumu mtu kwa kushindwa kukutambua???

the best you can do is to go all the way!!!

bla elements za ushosti usingeweza kuact so
 
Akati anakutumia hela Kwenye simu lilitokea Jina la kikee Au la kiume
 
Unaanzaje kujifananisha na manzi?hii vita ya ushoga ni ngumu sanaaa.

na ni ngumu kwa sababu mashoga yenyewe yanaona sifa kwa ushoga..kama hili lililopost...linajifanya linataka ushauri kumbe linatangaza biashara chafu humu JF
 
Laini,namba yangu inausajili wa jina langu la kiume.

Ukiona hivyo jua ameshajua jinsia yako...sasa kama bado amekutumia nauli na anataka umfuate najua unajua unachoenda kutoa...wish you nice kufumuliwa
 
Oops!wanamume tupo wachache in numbers kisha kuna mingine inazidi kupunguza idadi hivihivi.Yaani uthubutu umepata wapi kutukhabarisha kuwa umejibatiza jinsia ya upande wa pili na fedhwa umetumiwa?huwezi kuwa na guts hizo kama sio punga.
 
#T1990 Elly anza kutembea na ky kabisa , unaleta tamaa na pesa ya mwanaume mwenzio :what::what: subiri yakukute ndy utajua hali ya uchumi wako ni mbaya au mzuri


Au unatangaza soko kijanja😎
 

Kwenye whatssap kuna namba ya simu je mpk anatuma hiyo hela alikuwa hajakupigia tu au ulikuwa unaongea sauti ya kike? Kwa taarifa yako jamaa kashajua kuwa ww ni dume na anataka akulapue tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…