Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

Hiyo ni demokrasia. Wengine mtalia, wengine watafurahia.
 
Uko sahihi kabisa.
 
Watu wametufanya maskini for 60+ years usikitike nini
 
Watu tumekata tamaa na ccm
 
CCM ijitathmini kwanini watu wenu wakifa inakuwa sherehe kwa watanzania.kuna Sehemu mnakosea na anguko linaanza hivyo hivyo.
 
Mimi nlijua wamekufa 600 kumbe 6 tu,yani sijapenda kabisa...yani sijapenda
 
Kamuulize Supika WA Bunge la wahuni alivyokuwa anabeba Jeneza aliwabebea wanani. Hapo utapata jawabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…