Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Kama nimewahi kukuona masaki....
thubutu...
Kama nimewahi kukuona masaki....
thubutu...
Mkuu nashukuru wewe umeungana nami! nilishaanza kuhisi nilikosea kumwacha maana nashambuliwa kila kona.
mh sidhani, wewe mbeba boksi ukutane na mimi wapi? yombo vituka?
Tena haswaa kamsaidia... Asijikute ana maufundi kumbe mwenzia anaona keroindelible
ukiona hivyo ujue hujui hivo ni lazima akufundishe.tena bora anakuelekeza kuliko anaekung'ong'a kisogo
Yombo ile ya Dovya.......pale kwa Mwenda muuza chipsi......
Basi kama sio mlimani city itakuwa kwanye ndege kitu ka hiyo
Eeetiii wewe ni mvulana,mwanaume,mtoto wa kiume,kigoli,mchuchu?
Wasalaam
Nikianza yangu anaanza kunipa maelekezo utadhani mi mtoto mdogo, utamsikia....no sio hapo, ngoja kidogo ooops, enheee hapo hapo, no subili kidogo no speed ooops no yes endelea sasa mbona unanishangaa!
Unajua nusura nimlapue kibao.
nikashuka zangu nikavaa huyo nikasepa. nikamwacha na u- co driver wake utadhani tuko mashindano ya magari.
Wakuu imeshawakuta hii?