Nimechoshwa na huyu mwanaume

...'acha ujinga,utahongaje mwanaume?'....what a question?hivyo mme kumpa mke ni halali,vice versa haram,haya bana kina mama nawatakia kila la kheri katika mapambano ya gender equality!
Bisahanga,hawa bado ni wapenzi tu na wanaweza kumwagana wakati wowote,
Angekuwa ndio mumewe sawa hilo linakubalika kbs,
Hata ni mie changu ni chetu wote na atakayekuwa amenioa kwan tutakuwa ni mwili mmoja,
Ila kwa hawa watumiaji wala hamjanishawishi kbs,tena kwa kivulana km hiki hata mia yangu hapati NG'O
 
Na wewa Zabibu kwa nini mnapenda vijana hapo kazini kwako hakuna wanaume/wanawake??kama ulimwonea huruma ukampa papa mwonee huruma umpe pesa na wewe siunamtumikisha nayeye anajiona yupo kibaruani kwani yaelekea wewe haumjali kama mpenzi wako kwakuwa unapesa basi unaletea madharau!!

kakakiiza, Sijaleta dharau hata kidogo nampenda sana huyu kijana nimetoka nae mbali ila tabia yake hii ya mwaka huu na ugomvi usioisha ndio vinanichosha kabisa
 
Asante sana, lakini kumbuka kazi kila mtu anaipenda tatizo ni kuipata, usinione mzembe kupata ni majaliwa, lakini je sahihi kubaguliwa kwenye mapenzi kwa sababu ya kipato, halafu kumbuka Zabibu hajaeleza uimara wangu lakini ameeleza udhaifu wangu, au kwa sababu dada yenu stutus imepanda kwa hyo anatafuta wa type yake na nyinyi kama shemeji zangu mnamsuport. Je wewe ikatokea ukafukuzwa kazi ni sahihi dada yangu akakupiga chini, maisha ni foleni ndefu sana.

Ndugu Kibirizi,
Nahisi wewe si muelewa katika mambo ya pesa, ktk pesa kuna kupata na kukosa, akikupa ilibidi uwe unashukuru na akisema sina pia ilibidi ushukuru, ila wewe umeelemea upande wa kupewa tu akikosa dada wa watu unamuona siyo mtu kabisa. Hapa na nukuu maneno ya zabibu "inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu" na hii si vyema mkuu. Hebu kuwa muelewa kidogo kibirizi, akikuambia hana nenda kwenu kaombe hela siku nyingine.
 
Mbona kuna wanaume wanahonga wanawake wala hawalalami?!! ndio maana naona lile suala la haki sawa kwa wote sio kweli ni ulongo tu!!! mwanamke akimhonga mwanaume ni kilio ila kwa mwanaume ni sawa duh!!!
 
Asante sana, lakini kumbuka kazi kila mtu anaipenda tatizo ni kuipata, usinione mzembe kupata ni majaliwa, lakini je sahihi kubaguliwa kwenye mapenzi kwa sababu ya kipato, halafu kumbuka Zabibu hajaeleza uimara wangu lakini ameeleza udhaifu wangu, au kwa sababu dada yenu stutus imepanda kwa hyo anatafuta wa type yake na nyinyi kama shemeji zangu mnamsuport. Je wewe ikatokea ukafukuzwa kazi ni sahihi dada yangu akakupiga chini, maisha ni foleni ndefu sana.

Sasa hii ndio sababu ya kulia lia na kuleta maugomvi pale mwenzako anapokwambia hana pesa? Au ukijibiwa vibaya ndo unaleta ugomvi?
 
Sasa hii ndio sababu ya kulia lia na kuleta maugomvi pale mwenzako anapokwambia hana pesa? Au ukijibiwa vibaya ndo unaleta ugomvi?

Hilo la ungomvi ndio tatizo kubwa ninaloliona. Vinginevyo hakuna maneno kabisa...

Kama tunakubali kuwa dunia ya dot com siyo sawa na ile yetu ya miaka ile ya 1947, basi pia tukubali kukutana na mambo ambayo sie wenzenu si tu hatukuyafanya bali hata hatukuyasikia kabisa!!

Dada aendelee kumpa sapoti BF wake na wala asiwe na shaka lolote kwamba anatumiwa. Ila kwa condition kwamba kijana anakuwa na heshima + adabu kwa Zabibu wake....!!

Babu DC!!
 
Mbona kuna wanaume wanahonga wanawake wala hawalalami?!! ndio maana naona lile suala la haki sawa kwa wote sio kweli ni ulongo tu!!! mwanamke akimhonga mwanaume ni kilio ila kwa mwanaume ni sawa duh!!!

Ukihonga maana yake hauko sure na hayo mapenzi ila unatafuta security in the name of money. So kama ukiamua kutoa pesa, just do it with love (don't ask me how). Ila inasikitisha pale unapokosa na kumweleza mwenzio, badala ya kukuelewa na kuthamini maneno yako anakuzulia vijisababu. Inapunguza ari ya mapenzi kuona unashutumiwa na upendo wako kushushwa thamani!! Hii ni kwa wote, wanawake na wanaume!
 
atm1.jpg

...hakuna anayependa "...there is insufficient funds in your account!" kwenye ATM.
 
Mapenzi ni mutual agreement kati yenu wawili, endapo unaona kunatofauti na makubaliano au matarajio nenda hatua ya mbele zaidi ya kuthubutu kufanya unachoona ni sahihi
 
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari

Huyo atakuwa amekupenda kipesa pesa stuka, wa dizaini hiyo wakimaliza masomo wanafunga vioo kama hakujui vile.
 
pole sana dada lakin its about compassion in love, wat i wanna say is try to crack em sincerery to c if he is ril serious wth ya coz wat is seen dea ni kwamba kipimo chake kwako kuwa unampenda ni wewe kumpa hela wch is quit wrong, so u have to go further nd sit down wth em and explore his commitment in loving ya coz am woried kwamba yuo might be wasting ur money nd tyme
 
Usituchanganye bhana hakuna mwanaume ambaye haongi pesa labda mwanamke awe hakati vizuri mauno.
 
pole sana dada lakin its about compassion in love, wat i wanna say is try to crack em sincerery to c if he is ril serious wth ya coz wat is seen dea ni kwamba kipimo chake kwako kuwa unampenda ni wewe kumpa hela wch is quit wrong, so u have to go further nd sit down wth em and explore his commitment in loving ya coz am woried kwamba yuo might be wasting ur money nd tyme

Kha! Hii lugha iliyoandikwa hapa cjawah kutana nayo,em mmh!
 
ndio maana nilipoanza kuona anazoea na kamekuwa kamchezo nikaanza kumwelimisha lakini sasa ukimwambia tu ndio ugomvi unaibuka

Hembu tuambie mnaishi katika mazingira yapi? Mnaishi naye au anaishi sehemu tofauti? Na huo ugomvi ni wa aina gani maneno tu au nakipigo anakupatia? kama hamuishi pamoja basi hakuna sababu ya wewe kuogopa huo ugomvi
 
Piga chini fasta,mwanaume anasifiwa kazi kunako na kutunza mwanamke,(WALETI ILIYOTUNA)huyo mario wako anakupotezea mda tu,usikute ana kibinti kingine huko ndio anakihonga hiyo hela unayompa,Kwanza ni aidu kwa mwanaume kulia shida kwa binti,mwambie ajiangalie atakuja kupapaswa kwa kuomba omba hela.
 
Back
Top Bottom