Piga chini hako kajmaa kanaleta ugomvi kwani pesa zake?? Alah? Vitoto vya siku hizi bana kupenda kulelewa tu
Hatuishi pamoja na wala ugomvi sio wa kipigoHembu tuambie mnaishi katika mazingira yapi? Mnaishi naye au anaishi sehemu tofauti? Na huo ugomvi ni wa aina gani maneno tu au nakipigo anakupatia? kama hamuishi pamoja basi hakuna sababu ya wewe kuogopa huo ugomvi
Dena Amsi mambo upo?