Nimechomwa na msumari mguuni

Nimechomwa na msumari mguuni

Nafikiri humu watu' wanachangamsha tu'

Hivi ni nani kasema hiyo Tetanus Toxoid Vaccine inatibu hicho kidonda?

Mshaurini aende kwenye kituo Cha kutolea huduma na apate huduma inayostahiki
 
Nmeeishaenda nmepewa dawa, ampiclox, brufen jumatatu nikachome TT.
 
Kesho ni mbali sana masaa 6 tu yanatosha kuondoa uhai wako kwa tetnas labda uwo msumar uwe hauna tenas

Mara ya mwish umechoma lin sindano ya tetnas?
We ulieniambia nitakufa mbona napumua
 
We ulieniambia nitakufa mbona napumua
Shukuru Mungu msumari haukua na tetnas kuna dogo alijikata na bati asubuh wakazarau wakampulizia pafyum t usiku mguu ulivimba wanampelek hospt wakaambiwa wamesgachelewa alifariki usku ule ule

tetnas ikienea mwilin hakuna matibabu ni kofo tu
 
Mkuu pole sana..
Umejichoma mda gani na umetumia huduma gani ya kwanza. Ya

Shukuru Mungu msumari haukua na tetnas kuna dogo alijikata na bati asubuh wakazarau wakampulizia pafyum t usiku mguu ulivimba wanampelek hospt wakaambiwa wamesgachelewa alifariki usku ule ule

tetnas ikienea mwilin hakuna matibabu ni kofo tu
Sa mm nko kijijin nlichemsha chumvi na makalekale nikaloweka mguu, ndo huduma ya kwanza ya kisukuma hii, kingne am too old huwa tunachoma TT zle za begi wakati wakujifungua, hii ya kidonda ndo skujua ikoje
 
Unaleta mada alafu unajibu kwa kusua sua ... Una wazimu ww
 
Niliandikiwaga sindano 3 za tetenasi nikachoma moja tu sikurudi tena,Bega liliuma miezi
 
Shukuru Mungu msumari haukua na tetnas kuna dogo alijikata na bati asubuh wakazarau wakampulizia pafyum t usiku mguu ulivimba wanampelek hospt wakaambiwa wamesgachelewa alifariki usku ule ule

tetnas ikienea mwilin hakuna matibabu ni kofo tu
Tetanus gani hiyo ya kusambaa kasi hivyo mkuu?
 
Back
Top Bottom