Nimechomwa na msumari mguuni

Nimechomwa na msumari mguuni

Huwa inakera pale nesi kabla hajakuchoma sindano alafu anakuuliza haya matako mara ya mwisho umepaka mafuta lini
 
Kesho ni mbali sana masaa 6 tu yanatosha kuondoa uhai wako kwa tetnas labda uwo msumar uwe hauna tenas

Mara ya mwish umechoma lin sindano ya tetnas?
Sjawahi choma
 
Ukisoma comment unagundua nchi ya Tanzania imejaa vilaza Sana .

Pole Sana mtoa mada
 
Jikaze Kipenzi....Wahi Kituo Cha Afya Kilicho Karibu Nawe Kwa Ushauri Zaidi...
 
Jikaze Kipenzi....Wahi Kituo Cha Afya Kilicho Karibu Nawe Kwa Ushauri Zaidi...
Asante, nmepata huduma ya kwanza ya jadi, kesho naamkiapo maana. Maumivu n makali kajasho kananitoka
 
Asante, nmepata huduma ya kwanza ya jadi, kesho naamkiapo maana. Maumivu n makali kajasho kananitoka
Coo Kipenzi..Jithidi Ukachome Tetenus..Madhara Yake Huwezi Yaona Leo Au Kesho Kwa Maana Inaenea Mwilini Kama Kansa Mdogomdogo,,Baada Ya Miaka Kadhaa Ndio Inaanza Kuleta Kizazaa
 
Pole

Nenda katika hosptali inayotoa hiyo huduma .

Mara nyingi hizo sindano moja huwa haizidi 2000-5000.

Sehemu ya kuchoma huwa ni begani hasa hasa Ila hilo lisikutishe

Pole
Ni bure kwa hospitali za serikali ila ukienda private hata kesho haizidi 1000
 
Back
Top Bottom