Mi hapa ufipa akija mdada lazima ntamchoma matakoni...Pole
Nenda katika hosptali inayotoa hiyo huduma .
Mara nyingi hizo sindano moja huwa haizidi 2000-5000.
Sehemu ya kuchoma huwa ni begani hasa hasa Ila hilo lisikutishe
Pole
Habari, hv zle sindano sjui za tetanus, huwa znachomwa eneo la kidonda ama kwa tako ili nijiandae, maana mm n muoga wa sindano. Na yamenkuta leo, na huwa n bure hospitali??
Kesho ni mbali sana masaa 6 tu yanatosha kuondoa uhai wako kwa tetnas labda uwo msumar uwe hauna tenasNaenda kesho maana naishi mbalisana na hospitali afu n jioni hii