Nimechoma bao la wazee kijijini.

Daktari wa Meno

JF-Expert Member
Sep 5, 2019
509
1,000
Tumeambiwa tusisogeleane na kukaa katika mikusanyiko kuepusha kuenea kwa Corona ila huku kijijini wazee wamekuwa hawasikii kila siku jioni wakaa kwenye mti mkubwa hapa kijijini na kucheza bao na wengi wanakuwa hawajavaa barakoa na gloves.

Niliwafuata nikawapa elimu ya maambukizi ya Corona na wakanikebehi. Kwa vile sikuwatukana bali nilipeleka habari njema ila si kejeli wala ugomvi. Sasa zilipita siku 4 wanaendelea kucheza bao na hawakuheshimu kile nilichowaambia. Siku iliyofuata nilienda wanapotunza lile bao usiku nikachukua zile mbegu zote na kuzifukia chini na lile bao nikaliwasha moto.

Siku moja baada ya kulichoma walilitafuta bila mafanikio nikapita pale kijiweni kwao ila nilipowasalimia hawakuitikia ila mzee mmoja aliniambia kuwa NITAONA kati yao na mimi nani kaja wa kwanza duniani.

Mimi sikujibu lolote nikaacha wanajadiliana kitu ambacho moja kwa moja sikujua ni nini.

Ila ninawaza huwenda wanapanga kunidhuru maana wazee wa kijijini kwetu wanajua sana uchawi najiuliza niwaombe msamaha na zile mbegu zimetoa baada ya kuzifukia ardhini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,176
2,000
Tafuta video ya watu wa kule italia wanavyofukiwa kwa makundi uwaonyeshe. Hata wachawi wanaogopa KIFO
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,342
2,000
utakua unakunya kete moja moja kila unapoenda haja mpaka idadi ya kete ulizofuki itimie zikiisha unahamia vifundo vya kinyesi vyenye kipenyo cha ule mduara ambapo kete huwekwa hakika utapata tabu sana
 
manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,379
2,000
Tumeambiwa tusisogeleane na kukaa katika mikusanyiko kuepusha kuenea kwa Corona ila huku kijijini wazee wamekuwa hawasikii kila siku jioni wakaa kwenye mti mkubwa hapa kijijini na kucheza bao na wengi wanakuwa hawajavaa barakoa na gloves.

Niliwafuata nikawapa elimu ya maambukizi ya Corona na wakanikebehi. Kwa vile sikuwatukana bali nilipeleka habari njema ila si kejeli wala ugomvi. Sasa zilipita siku 4 wanaendelea kucheza bao na hawakuheshimu kile nilichowaambia. Siku iliyofuata nilienda wanapotunza lile bao usiku nikachukua zile mbegu zote na kuzifukia chini na lile bao nikaliwasha moto.

Siku moja baada ya kulichoma walilitafuta bila mafanikio nikapita pale kijiweni kwao ila nilipowasalimia hawakuitikia ila mzee mmoja aliniambia kuwa NITAONA kati yao na mimi nani kaja wa kwanza duniani.

Mimi sikujibu lolote nikaacha wanajadiliana kitu ambacho moja kwa moja sikujua ni nini.

Ila ninawaza huwenda wanapanga kunidhuru maana wazee wa kijijini kwetu wanajua sana uchawi najiuliza niwaombe msamaha na zile mbegu zimetoa baada ya kuzifukia ardhini.

Sent using Jamii Forums mobile app
the return of kisandu:):)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom