Nimechoma bao la wazee kijijini.

Tangu ulipotaka kumuoa house girl wa mjomba wako tena ukiwa unaishi nyumbani kwake( anakulisha, anakupa sehemu ya kulala )

HAKIKA NILIKUONA MTU WA HOVYO!

kama hujaelewa soma comments.
 
Mhu 4:13
.
Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo.
 
Tumeambiwa tusisogeleane na kukaa katika mikusanyiko kuepusha kuenea kwa Corona ila huku kijijini wazee wamekuwa hawasikii kila siku jioni wakaa kwenye mti mkubwa hapa kijijini na kucheza bao na wengi wanakuwa hawajavaa barakoa na gloves.

Niliwafuata nikawapa elimu ya maambukizi ya Corona na wakanikebehi. Kwa vile sikuwatukana bali nilipeleka habari njema ila si kejeli wala ugomvi. Sasa zilipita siku 4 wanaendelea kucheza bao na hawakuheshimu kile nilichowaambia. Siku iliyofuata nilienda wanapotunza lile bao usiku nikachukua zile mbegu zote na kuzifukia chini na lile bao nikaliwasha moto.

Siku moja baada ya kulichoma walilitafuta bila mafanikio nikapita pale kijiweni kwao ila nilipowasalimia hawakuitikia ila mzee mmoja aliniambia kuwa NITAONA kati yao na mimi nani kaja wa kwanza duniani.

Mimi sikujibu lolote nikaacha wanajadiliana kitu ambacho moja kwa moja sikujua ni nini.

Ila ninawaza huwenda wanapanga kunidhuru maana wazee wa kijijini kwetu wanajua sana uchawi najiuliza niwaombe msamaha na zile mbegu zimetoa baada ya kuzifukia ardhini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea sana jukwaani, bila shaka hivi sasa wewe ni ndugu msukule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom