Nimechokaaa!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,254
12,872
hamjamboni wanaCC
dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe magumu!!
 
charminglady katika vitu amabvyo huwa vinaniboa ni hivyo! coz harusi yangu sikuchangisha mtu, mishahara yetu ilikuwa enough, harusi ya watu 25, ndugu wa karibu na friends wake 3, na wangu 3. nice venue, chakula kizuri, kunywa mpaka tambaa! sasa leo iweje unichengishe hadi kipaimara!?? vinakeraaaaaaaaaaa, na wananijua kuwa SIPENDI!
 
Last edited by a moderator:

yan nataman nikajifiche cjui wapi. afu ukizingatia ni jiran nyumba ya pili. cwez kukwepa.me b-day yang july watachangaje
https://www.jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Charmldy pole na mikwazo, bt sisi wengine wallet zetu hazina misukosuko, na ziko wazi zinatafuta wapi zipeleke aid.
 
hamjamboni wanaCC
dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe magumu!!

charminglady kuna kile kingine mnaita BABY-SHOWER hujapewa kadi ya mchango!?
 
Last edited by a moderator:
yan nataman nikajifiche cjui wapi. afu ukizingatia ni jiran nyumba ya pili. cwez kukwepa.me b-day yang july watachangaje
https://www.jamiiforums.com
kama ni jirani, my dear huna jinsi, mi nimeshachanga mpaka basi, bado michango ya kina mama mwisho wa mwezi mtaani! ili ukipata shida usaidiwe, sikatai sana kwa issue ya jirani coz ndio msaada wa kwanza upatapo matatizo. but kuna watu ofisini, marafiki wa mume, mashoga ndio SIPENDIIIIIIIIIII, utasikia naandaa sanduku la kitchen party nachangisha! pathetic, wananijua SITOI, COZ SIKUFANYA HAYO MAKITU. nonsense!
 
Si bora besdei ya mtoto kuliko ya m'babu ama m'bibi mzima! Kha!
Kuna mchango wa kipaimara na wa kutahiri kijana? (ashakum si matusi)
 
michango siku hizi imezidi na inaudhi kwelikweli, lakini hapo kwenye red King'asti umeniacha hoi.
 
Last edited by a moderator:
Charmldy pole na mikwazo, bt sisi wengine wallet zetu hazina misukosuko, na ziko wazi zinatafuta wapi zipeleke aid.

mbona vituo vya watoto yatima vingi sana,kuna kile kituo cha kulea wazee nacho kinahitaji wallet yako iwasaidie,mahospitali kuna wagonjwa wanahitaji hizo pesa zako walipie matibabu coz hawana hata senti tano.:der:
 
kwani lazima birthday ufanye sherehe kubwa wakati mfukoni huna kitu kama sio ulimbukeni wa maisha ni nini we familia na majukumu yako mwenyewe uwatwishe watu kama huna pesa ya nini kufanya sherehe?waswazi wasumbufu sana.
 
Charmldy pole na mikwazo, bt sisi wengine wallet zetu hazina misukosuko, na ziko wazi zinatafuta wapi zipeleke aid.

acha misifa, ni watoto wangapi yatima unaowasaidia? Au mpaka uombwe?kutoa ni moyo
 
Back
Top Bottom