Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,295
- 2,495
Yesu ndi kitu mkuu?Furaha ya kweli kuwa na Yesu! Mtafute Mungu utaenjoy maisha ya duniani.
NIMESHAKATA TAMAA, SIONI KESHO YANGU TENA, NAHISI KUSUBIRI KIFO TU - JamiiForumsHello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Wise[emoji122][emoji122]And..... If you believe that life is always fair and designed to be only a joyful ride, think again. If you expect that life owes you something, you may be setting yourself up for massive disappointment. That’s because life can sometimes be quite unfair. It will throw curveballs at you and will confront you with obstacles that seem larger-than-life. It is also possible that you will encounter stages of life during which trials and tribulations will rain down upon you. During these difficult times, it simply takes a lot of hope and encouragement to keep going. It’s that little spark of hope that motivates you to see things through – no matter how difficult it gets. In fact, hope is possibly the most important factor when it comes to overcoming the great challenges of life. For this reason, we’ve created a huge collection of powerful help quotes. These are the brilliant quotes about hope that will help you to keep going even then the going gets tough.
Thank you so much indeed [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wise[emoji122][emoji122]
Usiseme kula tu mkuu watu wapo hospitali huo na wameambiwa hawatapona lkn wanamuomba mungu na maisha yanaenda we huna hata homa alafu unakata tamaa hpna maden mbona tz inadaiwa lkn tunasongaWapo watu wanashida kuliko zako,,, wapo watu wakiamka asubuhi hawajui kama watakula au laaa ,,,wanalala pale usiku unapowakutia wanakula kole kilichopo mbele yao ,,,wee kufa uonee huko mbingunii kuna vimalaika vnapiga banah
Dahhhhh ona sasa....
Hii ndio moja ya sababu yenye inanifanya niwe nasisitiza matumizi ya lugha adhimu ya kiswahili
Yes mkuu, nikweli haja elewa na kama akibisha nipo tayari kukosolewaHa ha ha kwamba jamaa hajaelewa kilicho andikwa
Mkuu, kama hauja elewa ni afadhali usitutie aibu tafadhali[emoji4] [emoji4] [emoji4]Jifunze kuridhika Na usijifananishe Na mtu yeyote pia kaa mbali Na watu wanaojifananisha ama kushindana Na wewe utaishi Kwa amani Na furaha sana
Yes mkuu, nikweli haja elewa na kama akibisha nipo tayari kukosolewa
Akikunwa vilivyo atasahau habari za kufa huyoMjomba ndio umeandika nn, kwan kasema ana washwa
Mkuu, kama hauja elewa ni afadhali usitutie aibu tafadhali[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Warmly welcome, sijajuta kupita Jf mida hii!Thank you so much indeed [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hakuna sababu ya kumsumbua Muumba alifanya yote kilichobaki ni utekelezaji wa sheria yakebadala ya kumuomba Mungu ufe nakushauri uifanyie kazi hiyo sentensi yako ya mwisho ,"Mungu ulinileta duniani ili nifanye nini?". Kila siku uwe unamuuliza Mungu na ipo siku atakupa jibu. niliwahi kusikia kwamba kutaka tamaa ni dhambi isiyosamehewa, usikate tamaa maana umeumbwa kwa sababu maalum, sali sana ili uijue hiyo sababu ya kuumbwa kwako. Roho Mtakatifu akuongoze.