siku moja nitakua nalo tuu,Sina msongo ...huna la kunielekeza kulingana na mada siku njema. Na zaidi sipendi unafiki.
Hahahah umeyajuaje haya yote au na wewe unafanyaJiandae kisaikolojia na yafuatayo ukifika kwa king
1. Kumtoa kafara ya kifo mama mzazi
2. Kumfanya ndondocha mtoto unayempenda
3. Kumfanya msukule mkeo
4. Kama hao wote hawapo kukudhoofisha kiungo kimojawapo cha mwili kama mguu, mkono au akili.
5. Kama namba 4 haitawezekana basi atakutafutia kitu unachokipenda na cha muhimu katika maisha yako na kukuzuia kwa mfano kulala sakafuni bila tandiko lolote kwa maisha yako yote, pesa yako usinunulie chochote cha anasa bali ujidhiki mpk kufa, kutolala na mwanamke mpk kufa
Chaguo ni lako na kila lisilo na kheri katika safari yako ya nusu kuzimu
Heee jamani saidieni kondoo anatumbukia mtaroni vuteni kamba kwa nguvu apone
Hahaha acha kukariri ...acha unafiki tafadhali.
Siku njema.
kondoo wengine ni msongo tuuu, wanahitaji time.Mwache atumbukie tu mkuu! Ilihali kondoo mwenyewe sio kipofu mwacheni tu.
Acha uongo mkuu ...mkuu unanipenda sana na wakat hata bandiko langu moja la kuomba msaada hujawahi kuchangia? mnajiona mlivyo? Lakin katika thread za hivi ndo utapewa maneno kama mwinjilisti vilemkuu nakupenda sana mimi sio mnafiki kabisa, sipendi uo uamuzi ulio chukua kabisa......
Mungu wangu saidia kiumbe wako ametendewa ndivyo sivyo,nuru yako imuangazie, malaika wamuongoze kuifikia kweli. Maana hajui kweli ni ipi na uongo ni upi. ShalomNa vile vile nitaujua uongo nikiujua ukweli
Unajiona sasa...je kwenye bandiko zangu za kuomba msaada ulishawahi kuniandikia huu ujumbeMungu wangu saidia kiumbe wako ametendewa ndivyo sivyo,nuru yako imuangazie, malaika wamuongoze kuifikia kweli. Maana hajui kweli ni ipi na uongo ni upi. Shalom
mkuu bahati mbaya sana tu mimi sijaziona izo bandiko zako nyingine, kama ni za kuhusiana na mambo ya MMU... huwa sifwatilii sana...Acha uongo mkuu ...mkuu unanipenda sana na wakat hata bandiko langu moja la kuomba msaada hujawahi kuchangia? mnajiona mlivyo? Lakin katika thread za hivi ndo utapewa maneno kama mwinjilisti vile
SorryUnajiona sasa...je kwenye bandiko zangu za kuomba msaada ulishawahi kuniandikia huu ujumbe
Mimi huko MMU siingii na hio MMU inanisaidia nini?mkuu bahati mbaya sana tu mimi sijaziona izo bandiko zako nyingine, kama ni za kuhusiana na mambo ya MMU... huwa sifwatilii sana...
mkuu inaonesha unakumbana na tabu sana, ndio maana umekata na tamaa ya muumba wako! yaani umesahau kabisa ni nani alie kuleta na kukutengenezea ramani katika uso huu wa dunia hadi kufikia kujiita "pem"
mkuu mimi sijajua wewe ni dhehebu gani lkn kama unafwatilia vitabu vya dini, watumishi wateule wengi wa mungu upitia misongo uipitayo wewe sasa ivyo achana na akina karumanzila kabisa...
uwe unanitag basi, siwezi ona post zote
Habari zenu.
Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni serious na nimeshaamua, kwaio sitaki habari zingine, nisaidieni kwa wenyeji wa maeneo hayo au waliokwishaenda wakafanikiwa tafadhali uje PM tuweze kubadilishana mawili matatu.
sina kampuni labda nnaweza sema njoo, unaona.....Mimi huko MMU siingii na hio MMU inanisaidia nini?
Bandiko la kuomba kazi/ mkopo ...hua mnapita kama hamuoni ...lakini mkisikia mganga tu ndio mnakuja tena na mistari ya kwenye Biblia
nataka muone binadamu mlivyo ambapo wengi wanakua wanafiki na zaidi wanakupa stori za kusadikika mtu anakushauri kulingana na muvi alizoangalia lakini ukweli wahusika peke yao ndo wanaujua.