Nimechoka nimeamua kutafuta ufumbuzi

Nimechoka nimeamua kutafuta ufumbuzi

yani dogo kukosa kazi ndio unafikia hatua ya kutaka kuabudu miungu wengine na kumkufuru muumba wako, acha ndumba dogo pambana, utatoka tu
Shukrani kwa ushauri wako ila kama huna maelekezo kulingana na habari inavyosema basi naomba tu upite kushoto.
 
Shukrani kwa ushauri wako ila kama huna maelekezo kulingana na habari inavyosema basi naomba tu upite kushoto.
sasa hivi unaleta nyodo sana, hayo mapepo na majini unayoenda kuyafuata yatakutafuna, time will tell, utarudi hapa ukiwa na thread ya kutafuta mahali penye kweli ya mungu.....wewe umekutana na wachungaji feki matapeli hao, wasaka noti
 
Siogopi lolote ..nimeshafanya utafiti wangu mkubwa sana ..kwanza yanayoendelea huko makanisani ni usanii mtupu anway kila mtu anajua ameweka agano gani na Mungu wake kwaio hauko katika eneo la kunishauri hayo unayosema ...rejea mada nataka ushauri wa kwenye mada husika ..kama huna basi
Sasa unaenda kuweka agano na shetani na mambo yake yote...mbele kuna anguko kubwa
 
Heee jamani saidieni kondoo anatumbukia mtaroni vuteni kamba kwa nguvu apone
 
sasa hivi unaleta nyodo sana, hayo mapepo na majini unayoenda kuyafuata yatakutafuna, time will tell, utarudi hapa ukiwa na thread ya kutafuta mahali penye kweli ya mungu.....wewe umekutana na wachungaji feki matapeli hao, wasaka noti
Siku njema mana naona huna la kunielekeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom