Nimechoka kuwa na wanawake wa walinzi wa taifa

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,336
Jamani ndugu zangu , naamini mko salama

Nasema nimechoka, hivi nyie hawa wanawake mnaishi nao kivipi mi nimeshindwa ,

Wao watakutafuta tu kipindi amekwama anataka ela, ukishampa hana habari na wewe tena ukimpigia simu itaiita weeeeee, hapokei, mara nipo kazini kwani sisi hatuna kazi mbona na sisi hizo kazi tunazifanya ila tunskuwa na mda pia wa kupunzika.

Akikukosea wala usikii anaomba msamaha, ukimtukana analia na kuzimia sasa haya maisha gani haya.

Sasa, sasa nasema nimechoka, mapenzi ya aina hiyo siwezi, ni bora nimtafute mwanamke kutoka kijijini kwetu huko nioe niweke ndani nimtafutie biashara afanye hata duka nimfungulie,

Duka ya nafaka mbona inalippa tu vizuri, ya nn nihangaike na kenge , ambaye akiwa na shida ndo atakutafuta ukimwambia sina ela kwa sasa, au subiri kesho nitakupa anaona kama unamnyima,

Mpaka najiuliza yeye ela zake anapeleka wapi wakati hata wazazi hana hakuna anayemuomba ela, kila mtu abaki na ela zake .

Mlio oa hawa makamanda hongereni mi hapana, na uzuri mwanamke nimeshampata tena amenitafutia mama acha nimsikilize mama naye roho yake itulie maana kelele naona ameanza sasa kwa nn nisimfurahishe mama.

Nimekuacha kamanda sitaki pasua kichwa tena
 
Mwanamke hanuniwi, asipopiga simu usipige😎

Piga simu siku anashida na hela na wewe una minyege .

Pia kosa kimaumbile kwa mwanaume kamili kuwa na wanawake chini ya wa 3 kwenye ratiba ya dudu kwa mwezi.
 
Kwani wewe mwenzetu Umepata mwanamke wa Aina gani?
Achana na hicho 'kituko' kinachokutafuta Kikiwa na Shida tu....! Ukikitatulia shida yake kinakuzimia Simu. Cha nini sasa...!
Tafuta Anayejitambua.
 
Jamani ndugu zangu , naamini mko salama

Nasema nimechoka, hivi nyie hawa wanawake mnaishi nao kivipi mi nimeshindwa ,

Wao watakutafuta tu kipindi amekwama anataka ela, ukishampa hana habari na wewe tena ukimpigia simu itaiita weeeeee, hapokei, mara nipo kazini kwani sisi hatuna kazi mbona na sisi hizo kazi tunazifanya ila tunskuwa na mda pia wa kupunzika.

Akikukosea wala usikii anaomba msamaha, ukimtukana analia na kuzimia sasa haya maisha gani haya.

Sasa, sasa nasema nimechoka, mapenzi ya aina hiyo siwezi, ni bora nimtafute mwanamke kutoka kijijini kwetu huko nioe niweke ndani nimtafutie biashara afanye hata duka nimfungulie,

Duka ya nafaka mbona inalippa tu vizuri, ya nn nihangaike na kenge , ambaye akiwa na shida ndo atakutafuta ukimwambia sina ela kwa sasa, au subiri kesho nitakupa anaona kama unamnyima,

Mpaka najiuliza yeye ela zake anapeleka wapi wakati hata wazazi hana hakuna anayemuomba ela, kila mtu abaki na ela zake .

Mlio oa hawa makamanda hongereni mi hapana, na uzuri mwanamke nimeshampata tena amenitafutia mama acha nimsikilize mama naye roho yake itulie maana kelele naona ameanza sasa kwa nn nisimfurahishe mama.

Nimekuacha kamanda sitaki pasua kichwa tena
Yuko busy na anayempenda, wewe ni wa ziada .
 
Ukiona hivyo hakuna mapenzi hapo , kilichopo ni wizi tu hapo ,
Ila hao c wake za watu mkuu ,
 
Jamani ndugu zangu , naamini mko salama

Nasema nimechoka, hivi nyie hawa wanawake mnaishi nao kivipi mi nimeshindwa ,

Wao watakutafuta tu kipindi amekwama anataka ela, ukishampa hana habari na wewe tena ukimpigia simu itaiita weeeeee, hapokei, mara nipo kazini kwani sisi hatuna kazi mbona na sisi hizo kazi tunazifanya ila tunskuwa na mda pia wa kupunzika.

Akikukosea wala usikii anaomba msamaha, ukimtukana analia na kuzimia sasa haya maisha gani haya.

Sasa, sasa nasema nimechoka, mapenzi ya aina hiyo siwezi, ni bora nimtafute mwanamke kutoka kijijini kwetu huko nioe niweke ndani nimtafutie biashara afanye hata duka nimfungulie,

Duka ya nafaka mbona inalippa tu vizuri, ya nn nihangaike na kenge , ambaye akiwa na shida ndo atakutafuta ukimwambia sina ela kwa sasa, au subiri kesho nitakupa anaona kama unamnyima,

Mpaka najiuliza yeye ela zake anapeleka wapi wakati hata wazazi hana hakuna anayemuomba ela, kila mtu abaki na ela zake .

Mlio oa hawa makamanda hongereni mi hapana, na uzuri mwanamke nimeshampata tena amenitafutia mama acha nimsikilize mama naye roho yake itulie maana kelele naona ameanza sasa kwa nn nisimfurahishe mama.

Nimekuacha kamanda sitaki pasua kichwa tena
Ndio maana wengi ni single mothers
 
Sio polisi, sio jeshi, sio magereza sio usalama wa taifa kwa ufupi wanawake wote ambao wapo kwenye majeshi yetu ya ulinzi na usalama ni malaya kupita kiasi.

Hizi nights na safari za hapa na pale wanakulana bila wasiwasi ili hali wamevaa pete za ndoa kabisa.
 
Nilitamani hata nimroge kwa mganga ila nimeona niachane na huo mpango najua sahani yangu ipo na yuko salama kabisa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom