Nimechoka kuwa na wanawake wa walinzi wa taifa

Asilimia kubwa wanawake wote ni Malaya by nature kikubwa uwe na ulimbo tu kitu pesa .
Kwanza nawashangaa wanaume wanaojiamisha kwa wanawake zao et mwanamke wangu hawez nisalit ,Nan kakwambia.
Wanawake Hawa Hawa unaokutana nao hakufaham humfaham Ila unamwomba no na anakupa kiroho Safi !!
Hawa Hawa ambao simu zao zimejaa ma no ya wanaume kibao kwa mgongo et ni friends tu ,tokea Lin mwanamke wa kiafrica akawa na urafik na mwanaume ?

Mm nilishaacha kumwamin mwanamke yeyote hapa dunian Zaid nikiwa na mtu najua sipo peke angu so imenisaidia Sana kutowazia et fulan analiwa na wengine maana hata mm nawala wa kila aina Tena kwa gia nyepes Sana sasa why wakwangu awakazie wengine ?

Jinsi ninavyowapata wengine kirahic ndivyo mwanamke wangu nae wadau wanampata kirahic ,tuishi humo ,hakunaga mwanamke wa peke ako hapa dunia Wala mwanaume wa peke ako
 
Uko sawa na ndo ukweli
 
Hao wanawake wa kwenye majesh n malaya sana huwa hawadumu kwenye ndoa weng ni masingo maza hawafugiki chunguza
Kama Kuna kaukweli vile, Zaman nlikuwaga na demu mjeda Bana alinpigaga ngumi moja ya mbavu ya kushtukiza asee hata sikumwambia tuachane nlisepa mwenyew nkaacha kila kitu sikutaka shida mie
 
Kuna mdau kakuuliza una umri gani na haujamjibu!

Ungeutaja umri wako, tungeliku group halafu tukakushauri inavyostahili kulingana na umri wako.

Lakini sasa, ngoja nitangulize angalizo: ukiona unafanyiwa sarakasi kabila hiyo katika mahusiano, moja kwa moja elewa kuwa wewe ni 'spare tyre' kwenye mahusiano hayo.

Na sifa ya matumizi ya spare tyre inafahamika wazi.

Matumizi ya spare tyre huwa mpaka lile tairi tegemewa na pendwa lipasuke, huwa ni kwa ajili ya dharula tu kuelekea matengenezo na umbo lake ni dogo ambalo haliwezi kuhimili vishindo!

Ni bora mwanaume ukajijua mapema uko kundi gani katika mahusiano yako ili kama unapenda kufanyiwa hivyo, basi ujiweke kisaikolojia na kuzoea hali hiyo ama la ujivue, maana huwaga hakuna dawa.

Kwa sababu 'rank' yako kwenye mahusiano hayo tangia mwanzo huwa ni hiyo hata kama wewe haujui ama haupendi.

Lakini cha kujiuliza ni kwamba, dalili umeshaziona mapema kuna cha ushauri tena hapo?

Au mkuu unapenda mapenzi ya mbwa?

Mbwa akiwa mnyonge, hawezi, hana haki na hatakiwi kusogelea jike mpaka dume mwenye ubavu amalize haja zake, achoke na aondoke.

Vinginevyo atapigwa jino huyo, atararuliwa vibaya ama kuuawa kabisa.

Lakini pamoja na dhoruba zote hizo kufanyiwa, haendi mbali wala hakati tamaa, ataendelea tu kusubiria pembeni kwa matumaini kwamba mwenye ubavu akimaliza na kutoka, naye atapata nafasi ya kufunga!
 
Usijenge picha ukadhani mi nipo hivyo, hapana, kwanza mimi ni jeuri ila ni mtu ambaye kunijua ujeuri wangu ni ngumu sana kutoka na u siri wa maisha yangu,

Na huwa mi ni mtu wa kumaliza mambo kimya kimya tena kwa akili kubwa sana mpaka hata viongozi wangu wenye siri kubwa sana wakitaka hii kazi ifanywe kwa umakini sana nitaitwa , ili niifanye bila kuonyesha ushahidi wa aina yoyote,

Pia ni mtu anayejua mambo mengi ila unatazama na kusema huyu muache tu ili asijua wewe ni mtu wa aina gani kunisoma na kunielewa ni ngumu mno,
 
! Hongera mkuu kwa kuwa na msimami huo.

Lakini kumbuka, ujasiri, elimu, ujuaji, utajiri, ushujaa, utemi na ukatili huwa saazingine vinamezwa kwenye sayansi ya mapenzi na kuonekana wenye sifa hizo za kuogofya ni dhalili sana na si chochote kwenye mapenzi.
 
Kama Kuna kaukweli vile, Zaman nlikuwaga na demu mjeda Bana alinpigaga ngumi moja ya mbavu ya kushtukiza asee hata sikumwambia tuachane nlisepa mwenyew nkaacha kila kitu sikutaka shida mie
Bro tupe mkasa mzima mzima na sio vipande vipande tu
 
Usijenge picha ukadhani mi nipo hivyo, hapana, kwanza mimi ni jeuri ila ni mtu ambaye kunijua ujeuri wangu ni ngumu sana kutoka na u siri wa maisha yangu,

Na huwa mi ni mtu wa kumaliza mambo kimya kimya tena kwa akili kubwa sana mpaka hata viongozi wangu wenye siri kubwa sana wakitaka hii kazi ifanywe kwa umakini sana nitaitwa , ili niifanye bila kuonyesha ushahidi wa aina yoyote,

Pia ni mtu anayejua mambo mengi ila unatazama na kusema huyu muache tu ili asijua wewe ni mtu wa aina gani kunisoma na kunielewa ni ngumu mno,
Hizi sifa ulizoandika hapa Ni sifa za Wasiojulikana bwashee ...unatutisha
 
Asilimia kubwa wanawake wote ni Malaya by nature kikubwa uwe na ulimbo tu kitu pesa .
Kwanza nawashangaa wanaume wanaojiamisha kwa wanawake zao et mwanamke wangu hawez nisalit ,Nan kakwambia.
Wanawake Hawa Hawa unaokutana nao hakufaham humfaham Ila unamwomba no na anakupa kiroho Safi !!
Hawa Hawa ambao simu zao zimejaa ma no ya wanaume kibao kwa mgongo et ni friends tu ,tokea Lin mwanamke wa kiafrica akawa na urafik na mwanaume ?

Mm nilishaacha kumwamin mwanamke yeyote hapa dunian Zaid nikiwa na mtu najua sipo peke angu so imenisaidia Sana kutowazia et fulan analiwa na wengine maana hata mm nawala wa kila aina Tena kwa gia nyepes Sana sasa why wakwangu awakazie wengine ?

Jinsi ninavyowapata wengine kirahic ndivyo mwanamke wangu nae wadau wanampata kirahic ,tuishi humo ,hakunaga mwanamke wa peke ako hapa dunia Wala mwanaume wa peke ako

Kama una ugenious flan hivi
 
Back
Top Bottom