Nimechoka kuumia, wadau nisaidieni.

Nilikuwa na girlfriend niliyempenda sana, lakini ikajatokea tukaachana kisa ujumbe mfupi wa kwenye simu yangu. Nimemuomba msamaha miezi miwili sasa lakini hataki kunielewa, na nafsi yangu bado inamhitaji. Nitafanyaje sasa ili turudiane.?
Mapenzi ya kweli na ya dhati hayataki uongo, umesema unampenda macho juu juu na sms za mapenzi kwa wanawake wengine vinakuhusu nini tena??si ungetulia na huyo girlfriend wako??Uongo unatuponza sana sisi wanaume kwenye mapenzi. Kimsingi kama mwanamke alikuamini 100%, umeshapoteza sifa ya kuaminiwa. Unaweza pambana kumrejesha mwisho wa siku naye ataanza kukudanganya mana ushamtenda. Kikubwa hapo kubali hasara anza upya na utakayempata usimfanyie hivyo tena.
 
huyo keshapata wa kuziba nafasi yako siku nyingi, ila jinsi ya kutemana na wewe bila sababu ilikuwa ngumu. sasa ndo keshapata sababu hivyo.
 
Nadhani msg ilikuwa ya kuumiza Feis kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kukuacha kwa style hii

hahahahahahahahaha.................
kwani wanawake huwa na 7bu za kumuacha m2??
from nowhere unakuta umetumiwa msg, mi nataka kuolewa nimepata mchumba...
nyie wadada ni pasua kichwa tu
 
afadhali alifanya maamuzi yaliyo sahiihi ule wakati wa kunyenyekea wanaume kama tunapokea sakramenti umeisha ukiona havieleweki unachapa mwendo utajua mbele kwa mbele . mama zetu ndo walikuwa wanayaweza hayo kwa sababu walikuwa ni mama wa nyumbani tu wasiokuwa na sy yoyote,wanawake wengu wa siku hizi hawaha hayo maujinga ya kumfuma mwanaume then unambembeleza cha muhimu ukishakuwa na maisha yako yaliyosimama mwanaume hakupeleki peleki hovyo kama mlevi wanawake tujitahidi sana kujikwamua kimaisha kazi au bihashara yako ndio mume wa kwanza then ndo wanakuja hao wame number mbili. kwa kweli nampongeza sana huyo dada kwa kukutosa coz hujielewi unahitaji nini kwenye maisha yako

in red...
wewe una practice ulichoandika hapo/upo kwenye campaign ya kuvunja ndoa za wa2????????
 
pole bro. lakin imewahi kutokea changes ya uhusiano wenu kwa kipindi cha muda mfupi uliopita? bcz kama umesema ukweli na hakuelewi basi itakua ana sababu nyengine tu, jaribu kuzungumza nae tena uangalie bahati yako ,bcz muhitaji siku zote hua mjinga ,kua mjinga kutafuta usalama wa furaha yako ,if anajali hisia zako, utamuona, ,, aaa '' mapenzi '' haya . mtu ikiwa hakupendi hukutafutia kijisabu kidogo tu cha kukuacha , pole sana kaka ndio maisha ya love. ukiingia jitayarishe na kama hayo.
 
<br />
<br />
ee bwana huko ilikuwa bado, coz still ni mwanachuo ndio anamaliza nxt year na tumefahamiana ka miezi nane iliyopita. I mean mwezi wa pili.

in red, ndio kosa lako mkuu na sio hiyo msg aliyoikuta kwenye simu yako....
miezi 8 mkuu hujakaa kati???kwa staili hiyo hata ukipata mwingine atasepa tuuuuuuu...
kama una misimamo hiyo ya mpaka ndoa ndio umpige maniaje, ni bora utafute binti ambaye bado hajatolewa manylon(bikira) koz ukichukua ambaye ashaanza kukaliwa kati hawezi dumu kwenye uhusiano wa kihivyo na hii inatokana na kuzoea hiyo kitu kwa hiyo hawezi acha...
huyo aliesepa, alikuwa anagongwa kopy nje na mhuni mwingine that'z Y kakupiga chini....
 
Pole sana mkuu, kuna uzi mmoja humu tulijadili watu wenye wenza huku wanaentertain hayo majina ya kimapenzi wakijidanganya ni kawaida. Mtu ni mfanyakazi mwenzako, classmate wako, jirani yako lkn utakuta mara honey, mpenzi, sweetie, babe... halafu unasema ni kawaida!!! To hell na kawaida zenu za wizi... hivi kweli nikute kidume kinginge kinamuita msichana wangu honey, mpenzi nk. hlf nizubae tu kuwa ni kawaida...??? Wewe elewa hiyo imetoka, ukipata mwingine uendekeze tena watu baki kukuita sijui chocolate, fanta-passion na hayo majina ya kimapenzi mnayoita kawaida uonyeshwe kawaida nyingine ya kibuti hadi ukome...
 
afadhali alifanya maamuzi yaliyo sahiihi ule wakati wa kunyenyekea wanaume kama tunapokea sakramenti umeisha ukiona havieleweki unachapa mwendo utajua mbele kwa mbele . mama zetu ndo walikuwa wanayaweza hayo kwa sababu walikuwa ni mama wa nyumbani tu wasiokuwa na sy yoyote,wanawake wengu wa siku hizi hawaha hayo maujinga ya kumfuma mwanaume then unambembeleza cha muhimu ukishakuwa na maisha yako yaliyosimama mwanaume hakupeleki peleki hovyo kama mlevi wanawake tujitahidi sana kujikwamua kimaisha kazi au bihashara yako ndio mume wa kwanza then ndo wanakuja hao wame number mbili. kwa kweli nampongeza sana huyo dada kwa kukutosa coz hujielewi unahitaji nini kwenye maisha yako

kwa jinsi ulivyotokwa na mapovu unaonyesha umetendwa punguza hasira usitafute aliyeumizwa ndio umtolee mihasira yako istoshe akufaham.
 
ameona ni danganya toto kaamua kusepa

sio danganya toto Blackie...
mchuchu umeshazoea kukaliwa kati, halafu jamaa anakaa nao mpaka miezi 8 hampigi maniaje unategemea nini hapo??
hata kama ni wewe ungesepa tuu, mwanamke akishazoea kugongwa kopy hawezi dumu kwenye uhusiano wa kusubiri marriage...
jamaa inabidi atafute mdada mwenye manylon wataenda sawa, lakini akichukua ambaye ameshaanza kuchakachuliwa ataendelea kukimbiwa tuu...
 
Sasa unababaika nini...wanawake wamejaaa everywhere tena wanaombea!! such love never exists miaka hii bro. Take your time, be composed, think again about your future family life and make sure you now get match group and not group match
 
we wasema la sms mi niltaka tukapime HIV coz hatukuwa tumeonana muda nrefu ikawa kosa ahaaa mpaka leo hapo anza moja tu mkuu mapenzi hayabembelezwi tfuta kitu kingine kikali ahaaa
 
Back
Top Bottom