Nimechoka kutembea hadi miguu inataka kuisha, mwenye gari la milion 2 nanunua

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Wadau nimetembelea miguu nimechoka kwa uwezo wangu nahitaji mwenye gari kuanzia milion 2 kurudi chini kama yupo mtu anauza nipm
 
Kwa hiyo wewe unavyotuona kwenye magari unadhani tulinunua kwa pesa hiyo? We wacha dharau gari kwa bei ya pikipiki?
 
car 4 sale.jpg

Halijalipiwa ushuru lakini hili..
 
Tafuta vijiweni utapata.....zipo bwana ilimradi uwe tayar kujiongeza....kiasi. usikate tamaa.
 
Jaribu kutafuta kwenye taasisi zinazokopesha fedha (micro finance). Kuna watu wanaweka dhamana magari huko halafu wanashindwa kulipa. Lakini pia kuna watu huwa wanapata shida wanauza magari bei poa, nimeuza yangu mil 4 last week na ilikuwa bado 'mpya' kabisa.
 
hiyo gari itakuwa inatumia muda mwingi garage kuliko barabarani
 
Back
Top Bottom