nimechoka kulala na jeans

kama single single boy fresh lakin kama kulinda ndoa unakula kitu cha talaka fasta
 
Sasa si umeona umevua jeans tu mambo yako yakatulia? Hata ukitaka kuvua ile ya kwanza kuvaa na ya mwisho kuvua uwe unauliza hapa na siyo unalala nazo bila kuambiwa. Lala slm.
 
Uko cngle basi ukinikubali mimi ntakujengea gorofa kariakoo na nyumba ya kulala posta
 
Sasa si umeona umevua jeans tu mambo yako yakatulia? Hata ukitaka kuvua ile ya kwanza kuvaa na ya mwisho kuvua uwe unauliza hapa na siyo unalala nazo bila kuambiwa. Lala slm.

ckuvua wangu, nimelala nayo mpk mornie!
 
dah, kumbe sometime mazoea yana tabu eeh... yan nshachoka kulala na jeans. mnoneke wanajamvi!

Naskia harufu ya pepo mbaya sana hapa.. Kuna pepo walah kikwingia anakushauri Ung'oe jeans.. Ulale ivoivo.. Mie nakushauri acha masifa kila siku jeans Kwa malalo mapya haipendezi.. Tafuta kitanda kimoja tu, kipeleke TANESCO wakiangazie fresh kisha kiweke ndani parmanent Na huna Haja ya jeans..
 
naomba nifunguke mana weng nahc hawajanielewa. nnaposema "nimechoka kulala na jeans" namaanisha nimechoka na upweke. co kwmb nimechoka kulala nikiwa nimevaa nguo!
 
kwa hyo unatafuta mtu awe anakuvua jeans kila siku.
 
naomba nifunguke mana weng nahc hawajanielewa. nnaposema "nimechoka kulala na jeans" namaanisha nimechoka na upweke. co kwmb nimechoka kulala nikiwa nimevaa nguo!

Hii baridi inakupa changamoto au sio! Import blanket chapa mutu
 
Back
Top Bottom