Nimechoka kula BAN kwenye siasa

Nimechoka kula BAN kwenye siasa

ha ha ha haaaaa
umekosea siyo Mamndenyi mimi najua tupo zaidi ya mmoja humu.

Mamndenyi, nimenong'onezwa na Mr.Rocky kuwa nikutafute tukae chemba tuongee kwa kuwa uko huru, unasemaje hapo?
 
Last edited by a moderator:
hapana hapana
mimi ninaye wangu
nahivi najua ananiona

mi ni baunsa nitamchapa kama mtoto, kwataarifa nimenda China si kwakutembea nikwenye huha. napiga za kushitukiza, we ni PM wala usiogope nitakurinda.
 
ha ha hahaaa @Mapolomoko
nenda tu kule siasani
kapambane na ban zako

maisha ya huku ni mepesi sana
yanatutosha sie.

mi ni baunsa nitamchapa kama mtoto, kwataarifa nimenda China si kwakutembea nikwenye huha. napiga za kushitukiza, we ni PM wala usiogope nitakurinda.
 
itajulikana wakati huo huo

Poresana kwani utapata shidasana wakati huo kwani wakatihuo mi nitakuwa mlinzi wa maji nitakuruhusu kuchota nusundoo, wengine ndoo 2. lazima unipigie magoti, nitalingaje
 
lakini si unajua ujira ni sawa kwa aliyeanza kazi asubuhi,
mwingine saa sita
na hata yule wa saa tisa wote walipewa dinari moja moja tu.

Poresana kwani utapata shidasana wakati huo kwani wakatihuo mi nitakuwa mlinzi wa maji nitakuruhusu kuchota nusundoo, wengine ndoo 2. lazima unipigie magoti, nitalingaje
 
haahaaa kwani hiyo ban si anaweza kuiongozea vikorombwezo kama pilipili hoho, vitunguu swaum afu akaendelea kuifurahia tu huko huko kwenye siasa..

ngoja Baba V aje atoe somo hapa kwani ndiye mzoefu wa hayo makitu.
 
Last edited by a moderator:
nimekimbia jukwaa la siasa ni hatari, huko hapafai, kwamtu anaetaka kuwa hewani mdaote JF, hivyo mnikaribishe kwaupole, hasa (chuchuchu, tototo) wa humu,huenda wakapata bahati ya kupolomoshewa mapolomoko. asanteni sana.
hamia chadema hakuna ban uko
 
Tafuta nyuma ndogo yaani mapolomoko 2 iwe kazi yake nikudeal na wale wajinga kule siasa mimi siendi tena kule within 4hrs nilipata ban ya 1week,kha yaani kuna watu wanakuchokoza yaani utaghadhibika tu haa
ngoja mimi nihamie huko siasa nione kama ntasurvive, maana kila mtu anakulilia kule
 
mi ni baunsa nitamchapa kama mtoto, kwataarifa nimenda China si kwakutembea nikwenye huha. napiga za kushitukiza, we ni PM wala usiogope nitakurinda.

Ndo mana unakula ban kuingia humu chichat hata vyumba hujavijua ndo kwanza uko sebuleni ushaanza kurukia wake za watu! angalie watakutandika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom