Nimechoka kukopwa hela na baba mkwe kila mara

Maisha sio mchezo wa uoga

Ukioa umeshakua mwanaume acha mambo ya kivulana kulia lia

Umegundua ni tatizo take one halafu action
 
Nawasalimu,

Haiwezekani baba mkwe kusema nimkopeshe hela halafu harudishi, karibia mwaka mzima sasa, mimi sina pesa za kuchezea

Haiwezi kuvuka 2 month kabla ya kupiga simu na kudai nimpe laki moja au mbili atarudisha kwamba anategemea kupata siku fulani, cha ajabu nikimtumia kwa m-pesa anapiga kimya hadi shida nyingine anaibuka tena kuwa nimuazime hela bila kutaja deni la nyuma, sasa nimechoka.

Nimemwambia mwanae tumeishia kugombana eti nisimnyanyasie baba yake kwa vijisenti vichache wakati mdogo wangu anakuja kila mara nampa pesa, vijisenti vichache? Wakati inakaribia millioni moja tangu mwaka uanze?

Nifanyeje kuhusu huyu mzee? Maana nimechoka, inafikia hatua hata nikisema sina atadai "kwa hiyo nikusubirie lini!!

Nonsense

Acha ulofa wewe,au uliingia na gia kua wewe ni tajiri sana?mwambie huna hela akiuliza lini mpige kalenda la kutosha.Huyo anakuenjoy tu anakopa then halipi na anakuja kukopa tena?ashakuona fara.
 
Akipiga simu akileta habari hizo unaitikia tu hallo, hallo skupati vizuri, unasema? Mtandao unasumbua niko sehemu mbaya nipigie baadaye, tena na tena na tena

Hahaaa...hahaaaa..hahaa aisee sio mchezo
 
kuwa na baba maskini sio kosa lako ni kosa la mama ako ila kuwa na baba mkwe maskini ni kosa ambalo halina msamaha duniani mpaka kwa Mungu...maana imeandikwa "Oeni sehemu zilizo bora"
 
Lipike ulile

Duh, sasa wewe ni Mzaramo au ni huyu Mhindi?:

Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

1.Nyani haoni - valise miwani

2.Debe tupu - weka dengu

3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani

4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu

5.Asiyesikia la mkuu -Peleka yeye polisi

6.Penye wengi - iko kutano ya CHADEMA

7.Asiekubali kushindwa - hio itakua CCM

8.Bandu bandu - Baba yake Somji iko Bombay

9.Simba mwenda kimya - hiyo iko Jangwani bhanaa naogopa Yanga tuu

10. Mstahamilivu- Maalim Seif miaka isirini nasinda lakini hakui rais

Nawasalimu,

Haiwezekani baba mkwe kusema nimkopeshe hela halafu harudishi, karibia mwaka mzima sasa, mimi sina pesa za kuchezea

Haiwezi kuvuka 2 month kabla ya kupiga simu na kudai nimpe laki moja au mbili atarudisha kwamba anategemea kupata siku fulani, cha ajabu nikimtumia kwa m-pesa anapiga kimya hadi shida nyingine anaibuka tena kuwa nimuazime hela bila kutaja deni la nyuma, sasa nimechoka.

Nimemwambia mwanae tumeishia kugombana eti nisimnyanyasie baba yake kwa vijisenti vichache wakati mdogo wangu anakuja kila mara nampa pesa, vijisenti vichache? Wakati inakaribia millioni moja tangu mwaka uanze?

Nifanyeje kuhusu huyu mzee? Maana nimechoka, inafikia hatua hata nikisema sina atadai "kwa hiyo nikusubirie lini!!

Nonsense

Jibu lake rahisi sana akiuliza swali kama hilo "nikipata nitakupigia kuona kama bado unahitaji mzee, usijali tuko pamoja sana tu..."
 
Nawasalimu,

Haiwezekani baba mkwe kusema nimkopeshe hela halafu harudishi, karibia mwaka mzima sasa, mimi sina pesa za kuchezea

Haiwezi kuvuka 2 month kabla ya kupiga simu na kudai nimpe laki moja au mbili atarudisha kwamba anategemea kupata siku fulani, cha ajabu nikimtumia kwa m-pesa anapiga kimya hadi shida nyingine anaibuka tena kuwa nimuazime hela bila kutaja deni la nyuma, sasa nimechoka.

Nimemwambia mwanae tumeishia kugombana eti nisimnyanyasie baba yake kwa vijisenti vichache wakati mdogo wangu anakuja kila mara nampa pesa, vijisenti vichache? Wakati inakaribia millioni moja tangu mwaka uanze?

Nifanyeje kuhusu huyu mzee? Maana nimechoka, inafikia hatua hata nikisema sina atadai "kwa hiyo nikusubirie lini!!

Nonsense
Kabla ya kuoa unatakiwa ufanye utafiti
 
Duh, sasa wewe ni Mzaramo au ni huyu Mhindi?:

Mhindi aliambiwa amalizie methali za Kiswahili

1.Nyani haoni - valise miwani

2.Debe tupu - weka dengu

3.Maskini akipata - itaacha iba jumbani

4.Penye kuku wengi -Chinja bili au tatu

5.Asiyesikia la mkuu -Peleka yeye polisi

6.Penye wengi - iko kutano ya CHADEMA

7.Asiekubali kushindwa - hio itakua CCM

8.Bandu bandu - Baba yake Somji iko Bombay

9.Simba mwenda kimya - hiyo iko Jangwani bhanaa naogopa Yanga tuu

10. Mstahamilivu- Maalim Seif miaka isirini nasinda lakini hakui rais

Utter nonsense, umeulizwa?
 
Faiza u were born to make me happy
 
Kuna maswali ya msingi wadau wamekuuliza hujaweza kuyajibu, jibu ili tukushauri kijana
 
Wewe ndiye ulifanya makosa toka mwanzo. Yaani umeoa mtoto wake (unatesa naye) halafu eti unamkopesha akulipe? Thubutu....

Halafu umemkosea heshima mkeo kumueleza habari za kukopwa na baba yake. Inawezekana wakati wote unamkopesha hamkujadili hayo mambo.

Hiyo pesa samehe. Next time usirudie hilo kosa. Kama anataka mkopo akope kwa binti yake.

Na hebu nijibu kidogo, huwa unamtumia pesa za matumizi? Wazazi wako unawasaidia? Kama ni ndiyo, mke wako anajua kuwa unawasaidia wazazi wako?
Akijibu swali hili vizuri basi hapa ndio utakuwa mwisho wa thread...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom