mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 98
Kitaa kishanchosha wakuu bora npate hiyo kozi yeyote tu chuo kikuu maana si mnanajua perception za watu wa vijijin wakikuona umekaa home mwaka mzima wanaanza "amefeli amerudi tulime hapa au kamlia babake hela huko kaja kukaa hapa". Kuondoa aibu hizo bora vyuo vifunguliwe fasta wakuu nikapambane naamini huko huko riziki yangu ipo.